Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WANAIONA RUSHWA KAMA UPOTEVU WA FEDHA ZAO

wangependa Rais achukue hatua
Lakini ni wachache tu wanaounga mkono adhabu kali kwa viongozi wala rushwa

24 Februari 2015, Dar es Salaam: Wananchi saba kati ya kumi (69%) wanasema rushwa zilizoripotiwa kwenye ripoti ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ni upotevu wa fedha zao (za umma). Zaidi ya nusu ya wananchi (55%) wanaamini kuwa aina hii ya rushwa inagusa sana maisha ya yao ya kila siku, na watatu kati ya kumi (31%) wangependa kutaarifiwa kuhusu matokeo ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAMANDA MPINGA: WANANCHI TUPENI TAARIFA KAMA KUNA VITENDO VYA RUSHWA

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga ametoa wito kwa wananchi kutoa taarifa mara waonapo vitendo vya rushwa. Naibu Kamishna Mpinga ameyasema hayo wakati akihojiwa na Global TV Online hivi karibuni.

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WANATAKA USIMAMIZI WA FEDHA ZAO KATIKA KUWALETEA MAENDELEO YA KIUCHUMI -CAG

 Kaimu Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Jasper Mero akizungumza mkutano wa kupanga mikakati  ya Fedha  katika ofisi ya mdhibiti wa fedha za serikali CAG, leo jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wadau wa wadau wa kuandaa mikakati ya  Ofisi  ya CAG wakimsikiliza Kaimu Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Jasper Mero mkutano wa kupanga mikakati  ya Fedha  katika ofisi ya mdhibiti wa fedha za serikali CAG, leo jijini Dar es Salaam.Kaimu Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu...

 

9 years ago

StarTV

Wafanyakazi 10 wa TANESCO wasimamishwa kazi kwa Madai Ya Upotevu Wa Fedha

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limewasimaisha kazi wafanyakazi wake 10 baada ya kubainika kuhusika na wizi wa umeme kwenye mfumo wa mita kwenye minara ya simu uliosababisha upotevu wa mapato wa zaidi ya Shingili Milioni 100.

Miongoni mwa wafanyakazi hao ni pamoja na mafundi, wahasibu na wahandisi umeme ambao wanadaiwa kushirikiana na wateja kuhujumu shirika hilo kwa kupokea rushwa na kisha kusambaza umeme unaotumika bila kulipwa.

Desemba 14, mwaka huu Shirika hili lilitangaza kupata...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wachezaji wa Ghana walipwa fedha zao

Serikali ya Ghana imetuma dola millioni 3 ili kuwalipa wachezaji wake wa soka nchini Brazil

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye: Rushwa inaumiza wananchi

WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, ametaja aina tatu ya rushwa zinazoitafuna nchi, ambazo ni rushwa kujikimisha haramu, rushwa ulafi na rushwa madaraka uroho.

 

10 years ago

Michuzi

Washindi wa Kopa Bayport wakabidhiwa fedha zao

Meneja wa Bayport Mkoani Lindi, Jovin Mapunda, kulia, akimkabidhi kiasi cha Shilingi Milioni moja mshindi wa Kopa Bayport, Said Mkinda, katika droo iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Fedha hizo alikabidhiwa juzi. Jovin Mapunda. Picha zote kwa hisani ya Bayport Financial Services.
Washindi wanne wa Kopa Bayport wakabidhiwa fedha zaoNa Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWATEJA wanne wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, walioshinda Sh Milioni Moja kila mmoja katika bahati...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wamekata tamaa vita dhidi ya rushwa

Anasema hali hiyo si nzuri na inatoa changamoto mpya katika vita dhidi ya rushwa hasa kutokana na wananchi wengi kupoteza imani katika vita hiyo, kwa kuwa ndiyo wanaoathirika moja kwa moja na hawaoni hatua zozote madhubuti kukomesha na kuwashughulikia watuhumiwa wa matukio hayo.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kwanini wananchi walinde kura zao?

Na Rashid Abdallah Mwanzoni mwa wiki juzi , Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) ilivionya vyama vya siasa kuacha mara moja kuwahamasisha wapiga kura, kuwa karibu na vituo vya kupigia kura baada ya kupiga kura zao […]

The post Kwanini wananchi walinde kura zao? appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani