Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye: Rushwa inaumiza wananchi

WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, ametaja aina tatu ya rushwa zinazoitafuna nchi, ambazo ni rushwa kujikimisha haramu, rushwa ulafi na rushwa madaraka uroho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Sumaye akemea rushwa, ubinafsi

sumayeNA MWANDISHI WETU, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema lawama zinazotolewa na wananchi nchini zinatokana na kukithiri kwa rushwa, ufisadi, ubinafsi na uwepo wa biashara za dawa za kulevya hapa nchini.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana, wakati wa maadhimisho ya siku ya kazi ya Chuo cha Ustawi wa Jamii (IST).

“Binadamu wenye uzalendo na maadili mema wanawajali wenzao na hawawezi kuangamiza maisha ya wengine, wakiwamo vijana kwa kufanya biashara ya dawa za kulevya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye: Tulijikwaa kudhibiti rushwa

WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema taifa limetumbukia kwenye rushwa kubwa hivi sasa kwa sababu hatua hazikuchukuliwa kwa watu waliokuwa wakiyatenda makosa hayo. Alisema kuachwa kwa watu hao kulifanya tatizo...

 

10 years ago

Habarileo

Sumaye- Wala rushwa wengi matajiri

WAZIRI Mkuu wa zamani Frederick Sumaye, ameendelea kuelezea jinsi anavyoumizwa na suala la rushwa katika jamii, huku akisema wenye uwezo mkubwa kifedha ndio tatizo, hivyo wasifumbiwe macho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye: Sijawahi kutoa, kupokea rushwa

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hajawahi kutoa wala kupokea rushwa. Waziri mkuu huyo anayejipambanua kwa kupiga vita rushwa alisisitiza kwamba katika kipindi cha miaka 20 aliyokuwa Mbunge wa Hanang’...

 

10 years ago

Mwananchi

Sumaye: Rushwa ikizidi CCM nitajiondoa

Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amesema iwapo misingi ya uchaguzi ndani ya CCM italalia kwenye rushwa, hataendelea kuwa mwanachama na kuonya kuwa tatizo hilo limefikia pabaya na litakiangusha chama hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Rushwa kwenye chaguzi, ufisadi vyamchukiza Sumaye

>Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema angefarijika kama wanasiasa wanaojiandaa kugombea Urais mwaka 2015, wangekemea vitendo vya rushwa na ufisadi hadharani.

 

9 years ago

Mwananchi

Mkapa amvaa Sumaye akidai anapotosha wananchi

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa juzi alianza kuruka na chopa katika kampeni za mwisho za kumnadi mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli na alitumia fursa hiyo kumvaa aliyekuwa waziri wake mkuu kwa miaka 10, Frederick Sumaye.

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wamekata tamaa vita dhidi ya rushwa

Anasema hali hiyo si nzuri na inatoa changamoto mpya katika vita dhidi ya rushwa hasa kutokana na wananchi wengi kupoteza imani katika vita hiyo, kwa kuwa ndiyo wanaoathirika moja kwa moja na hawaoni hatua zozote madhubuti kukomesha na kuwashughulikia watuhumiwa wa matukio hayo.

 

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI WANAIONA RUSHWA KAMA UPOTEVU WA FEDHA ZAO

wangependa Rais achukue hatua
Lakini ni wachache tu wanaounga mkono adhabu kali kwa viongozi wala rushwa

24 Februari 2015, Dar es Salaam: Wananchi saba kati ya kumi (69%) wanasema rushwa zilizoripotiwa kwenye ripoti ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ni upotevu wa fedha zao (za umma). Zaidi ya nusu ya wananchi (55%) wanaamini kuwa aina hii ya rushwa inagusa sana maisha ya yao ya kila siku, na watatu kati ya kumi (31%) wangependa kutaarifiwa kuhusu matokeo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani