Sumaye: Rushwa ikizidi CCM nitajiondoa
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amesema iwapo misingi ya uchaguzi ndani ya CCM italalia kwenye rushwa, hataendelea kuwa mwanachama na kuonya kuwa tatizo hilo limefikia pabaya na litakiangusha chama hicho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo11 Jul
Sumaye: Rushwa inaumiza wananchi
WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, ametaja aina tatu ya rushwa zinazoitafuna nchi, ambazo ni rushwa kujikimisha haramu, rushwa ulafi na rushwa madaraka uroho.
10 years ago
Mtanzania16 May
Sumaye akemea rushwa, ubinafsi
NA MWANDISHI WETU, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema lawama zinazotolewa na wananchi nchini zinatokana na kukithiri kwa rushwa, ufisadi, ubinafsi na uwepo wa biashara za dawa za kulevya hapa nchini.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana, wakati wa maadhimisho ya siku ya kazi ya Chuo cha Ustawi wa Jamii (IST).
“Binadamu wenye uzalendo na maadili mema wanawajali wenzao na hawawezi kuangamiza maisha ya wengine, wakiwamo vijana kwa kufanya biashara ya dawa za kulevya...
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Sumaye: Tulijikwaa kudhibiti rushwa
WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema taifa limetumbukia kwenye rushwa kubwa hivi sasa kwa sababu hatua hazikuchukuliwa kwa watu waliokuwa wakiyatenda makosa hayo. Alisema kuachwa kwa watu hao kulifanya tatizo...
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Sumaye: Sijawahi kutoa, kupokea rushwa
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hajawahi kutoa wala kupokea rushwa. Waziri mkuu huyo anayejipambanua kwa kupiga vita rushwa alisisitiza kwamba katika kipindi cha miaka 20 aliyokuwa Mbunge wa Hanang’...
10 years ago
Habarileo16 Oct
Sumaye- Wala rushwa wengi matajiri
WAZIRI Mkuu wa zamani Frederick Sumaye, ameendelea kuelezea jinsi anavyoumizwa na suala la rushwa katika jamii, huku akisema wenye uwezo mkubwa kifedha ndio tatizo, hivyo wasifumbiwe macho.
11 years ago
Mwananchi29 Dec
Rushwa kwenye chaguzi, ufisadi vyamchukiza Sumaye
9 years ago
TheCitizen09 Sep
Nagu : CCM still needs Sumaye
9 years ago
Mtanzania21 Sep
Sumaye: CCM haishindi
*Asema mizani haijalalia upande mmoja, aponda utafiti wa Makamba
HERIETH FAUSTINE NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema endapo haki itatendeka kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitashinda kwa sababu mwaka huu mizani haijalalia upande mmoja kama ilivyozoeleka.
Sumaye aliyasema hayo jana wakati akihojiwa moja kwa moja katika kipindi cha Funguka na Kituo cha Televisheni cha Azam, jijini Dar es Salaam.
Alisema endapo kanuni na...
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Sumaye ajibu mapigo ya CCM