Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye akemea rushwa, ubinafsi

sumayeNA MWANDISHI WETU, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema lawama zinazotolewa na wananchi nchini zinatokana na kukithiri kwa rushwa, ufisadi, ubinafsi na uwepo wa biashara za dawa za kulevya hapa nchini.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana, wakati wa maadhimisho ya siku ya kazi ya Chuo cha Ustawi wa Jamii (IST).

“Binadamu wenye uzalendo na maadili mema wanawajali wenzao na hawawezi kuangamiza maisha ya wengine, wakiwamo vijana kwa kufanya biashara ya dawa za kulevya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sumaye ataka Watanzania kuacha ubinafsi

 Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amewataka Watanzania kuacha ubinafsi na kujitolea kwa jamii katika kukabiliana na majanga ya njaa, mazingira, maji na elimu ambayo yamekuwa ni chanzo cha pengo kati ya tabaka la matajiri na masikini nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Mongela akemea rushwa hospitalini

MKUU wa Mkoa wa Kagera, John Mongela ameonya wataalamu wa idara ya afya hususani katika zahanati na vituo vya afya, wanaojihusisha na vitendo vya kuomba rushwa kwa wajawazito.

 

10 years ago

Mwananchi

Muhongo akemea rushwa Tanesco

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewataka wananchi wa vijiji vya wilayani hapa kutoa taarifa za mianya ya rushwa wakati wanapoomba kuunganishiwa umeme majumbani.

 

10 years ago

Habarileo

Paroko wa RC akemea vitendo vya rushwa

PAROKO wa Kanisa Katoliki (RC) , Parokia ya Masasi jimbo la Tunduru-Masasi mkoani Mtwara, Dominick Mkapa amekemea vitendo vya rushwa vinavyofanywa na baadhi ya watu waliopewa mamlaka serikalini mazingira yanayochangia kuwepo kwa mikataba mingi isiyo na tija kwa taifa letu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Lowassa akemea rushwa kwenye ardhi

MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, (CCM), amekemea tabia ya baadhi ya viongozi wa serikali na mila wanaochukua rushwa na kuuza ardhi za wananchi wakiwemo wajane kinyume cha utaratibu. Aidha, ameitaka...

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE WA USHETU AKEMEA VITENDO VYA RUSHWA


 Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandikwa akizinduajengo la  Chama cha Msingi cha Ushirika (Uyogo AMCOS) katika kataya Uyogo na kuahidi mifuko ya saruji 100 kwa ajili ya ujenzi wa jengohilo.
 Mbunge   wa   jimbo   la   Ushetu,   Mheshimiwa   Elias   Kwandikwa,akizungumza na wananchi wa kata ya Uyogo kuhusu maendeleo yajimbo   katika   miradi   inayoendelea   kutekelezwa   na   ile   iliyokamilikakatika kata hiyo.

 Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandikwa akikaguajengo...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana akemea wapimaji viwanja wanaokula rushwa

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amekemea watu wanaotumia upimaji na ugawaji viwanja kama fursa ya kutengeneza ulaji.

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye: Rushwa inaumiza wananchi

WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, ametaja aina tatu ya rushwa zinazoitafuna nchi, ambazo ni rushwa kujikimisha haramu, rushwa ulafi na rushwa madaraka uroho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye: Tulijikwaa kudhibiti rushwa

WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema taifa limetumbukia kwenye rushwa kubwa hivi sasa kwa sababu hatua hazikuchukuliwa kwa watu waliokuwa wakiyatenda makosa hayo. Alisema kuachwa kwa watu hao kulifanya tatizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani