MBUNGE WA USHETU AKEMEA VITENDO VYA RUSHWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-pSnHdW4-aWk/XkeMrJcXcxI/AAAAAAAAmso/4eE7cFXaosgxcktPfJuewmHn0JK-4kw2QCEwYBhgL/s72-c/thumbnail%2BMBUNGE%2B1.jpg)
Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandikwa akizinduajengo la Chama cha Msingi cha Ushirika (Uyogo AMCOS) katika kataya Uyogo na kuahidi mifuko ya saruji 100 kwa ajili ya ujenzi wa jengohilo. Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandikwa,akizungumza na wananchi wa kata ya Uyogo kuhusu maendeleo yajimbo katika miradi inayoendelea kutekelezwa na ile iliyokamilikakatika kata hiyo.
Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandikwa akikaguajengo...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Apr
Paroko wa RC akemea vitendo vya rushwa
PAROKO wa Kanisa Katoliki (RC) , Parokia ya Masasi jimbo la Tunduru-Masasi mkoani Mtwara, Dominick Mkapa amekemea vitendo vya rushwa vinavyofanywa na baadhi ya watu waliopewa mamlaka serikalini mazingira yanayochangia kuwepo kwa mikataba mingi isiyo na tija kwa taifa letu.
10 years ago
BBCSwahili27 May
Wafahamu washukiwa wa vitendo vya rushwa
11 years ago
Habarileo10 Apr
Viongozi wa dini walalamikia vitendo vya rushwa Kasulu
VIONGOZI wa dini katika halmashauri ya wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma wamewalalamikia baadhi ya watendaji wa Serikali wilayani hapo, mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kuwa wamekithiri kwa vitendo vya rushwa, hali inayotishia haki ya wananchi wa wilaya hiyo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-nt1TP_UmusE/Xu8jucSSIRI/AAAAAAALuzI/Z47s1eQpi3AF80i4fg3wbV-2hgAYys4OQCLcBGAsYHQ/s72-c/07d77c1f-02de-4503-8d43-03c9443d0b65.jpg)
MAJALIWA: WATU WOTE WATAKAOJIHUSISHA NA VITENDO VYA RUSHWA WAKAMATWE
![](https://1.bp.blogspot.com/-nt1TP_UmusE/Xu8jucSSIRI/AAAAAAALuzI/Z47s1eQpi3AF80i4fg3wbV-2hgAYys4OQCLcBGAsYHQ/s640/07d77c1f-02de-4503-8d43-03c9443d0b65.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea akiwa njiani kwenda Ruangwa kwa ziara ya kikazi, Juni 20, 2020. Wa pili kushoto ni mkewe Mary na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/6397f8ff-75bc-47a0-b5f4-bf4aad6a13e1.jpg)
10 years ago
GPL16 Sep
KAMANDA MPINGA: WANANCHI TUPENI TAARIFA KAMA KUNA VITENDO VYA RUSHWA
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Muhongo akemea rushwa Tanesco
9 years ago
Habarileo10 Dec
Mongela akemea rushwa hospitalini
MKUU wa Mkoa wa Kagera, John Mongela ameonya wataalamu wa idara ya afya hususani katika zahanati na vituo vya afya, wanaojihusisha na vitendo vya kuomba rushwa kwa wajawazito.
10 years ago
Mtanzania16 May
Sumaye akemea rushwa, ubinafsi
NA MWANDISHI WETU, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema lawama zinazotolewa na wananchi nchini zinatokana na kukithiri kwa rushwa, ufisadi, ubinafsi na uwepo wa biashara za dawa za kulevya hapa nchini.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana, wakati wa maadhimisho ya siku ya kazi ya Chuo cha Ustawi wa Jamii (IST).
“Binadamu wenye uzalendo na maadili mema wanawajali wenzao na hawawezi kuangamiza maisha ya wengine, wakiwamo vijana kwa kufanya biashara ya dawa za kulevya...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Lowassa akemea rushwa kwenye ardhi
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, (CCM), amekemea tabia ya baadhi ya viongozi wa serikali na mila wanaochukua rushwa na kuuza ardhi za wananchi wakiwemo wajane kinyume cha utaratibu. Aidha, ameitaka...