Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa dini walalamikia vitendo vya rushwa Kasulu

VIONGOZI wa dini katika halmashauri ya wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma wamewalalamikia baadhi ya watendaji wa Serikali wilayani hapo, mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kuwa wamekithiri kwa vitendo vya rushwa, hali inayotishia haki ya wananchi wa wilaya hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini kemeeni rushwa - RC

MKUU wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera amewasihi viongozi wa dini kuwa mstari wa mbele kukemea maovu, rushwa, ufisadi, fitina, umbea kwa lengo la kudumisha amani na mshikamano uliojengeka nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wafahamu washukiwa wa vitendo vya rushwa

Maafisa sita wa soka wamekamatwa mjini Zurich nchini Uswisi kwa shutuma za vitendo vya rushwa ya dola milioni 100

 

10 years ago

Habarileo

Paroko wa RC akemea vitendo vya rushwa

PAROKO wa Kanisa Katoliki (RC) , Parokia ya Masasi jimbo la Tunduru-Masasi mkoani Mtwara, Dominick Mkapa amekemea vitendo vya rushwa vinavyofanywa na baadhi ya watu waliopewa mamlaka serikalini mazingira yanayochangia kuwepo kwa mikataba mingi isiyo na tija kwa taifa letu.

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE WA USHETU AKEMEA VITENDO VYA RUSHWA


 Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandikwa akizinduajengo la  Chama cha Msingi cha Ushirika (Uyogo AMCOS) katika kataya Uyogo na kuahidi mifuko ya saruji 100 kwa ajili ya ujenzi wa jengohilo.
 Mbunge   wa   jimbo   la   Ushetu,   Mheshimiwa   Elias   Kwandikwa,akizungumza na wananchi wa kata ya Uyogo kuhusu maendeleo yajimbo   katika   miradi   inayoendelea   kutekelezwa   na   ile   iliyokamilikakatika kata hiyo.

 Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandikwa akikaguajengo...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: WATU WOTE WATAKAOJIHUSISHA NA VITENDO VYA RUSHWA WAKAMATWE



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea akiwa njiani kwenda  Ruangwa kwa ziara ya kikazi, Juni 20, 2020.  Wa pili kushoto ni mkewe Mary na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiongozwa na...

 

11 years ago

GPL

KAMANDA MPINGA: WANANCHI TUPENI TAARIFA KAMA KUNA VITENDO VYA RUSHWA

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga ametoa wito kwa wananchi kutoa taarifa mara waonapo vitendo vya rushwa. Naibu Kamishna Mpinga ameyasema hayo wakati akihojiwa na Global TV Online hivi karibuni.

 

11 years ago

Michuzi

CRDB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA VIONGOZI WA DINI

Na Mwandishi Wetu
BENKI ya CRDB, imetoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya Kamati ya Amani na ushirikiano ikiwa ni maandalizi ya mechi baina ya viongozi wa madhehebu ya dini.
Mtanange wa viongozi hao unatarajiwa kufanyika Oktoba 12, mwaka huu katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuadhimisha siku ya amani duniani.
Akizungumza wakati wa kukabidhi jezi na hundi ya sh. milioni tano  ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya wateja, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei,...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Dar
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...

 

10 years ago

Michuzi

Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa

Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philip Mangulla akizungumza na wanafunzi na waalimu wa shule ya Hagafilo mkoani Njombe kuhusiana na katiba pendekezwa na utofauti kati ya katiba pendekezwa na ya sasa. wanafunzi na waalimu wakimsikiliza Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula juzi wakati akiwapa ufafanuzi wa katiba Pendekezwa.(picha na furaha eliabu wa www.eliabu.blogspot.com)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani