WAFANYAKAZI SABA WA TPA MBARONI KWA UPOTEVU WA MAKONTENA MPYA 11,884 NA MAGARI 2,019... WANANE WATOROKA
![](http://2.bp.blogspot.com/-OrT7_vcdnlM/VoJ6PoavlkI/AAAAAAAIPMA/NEJFsBODF00/s72-c/mabarawa-dec19-2013.jpg)
Waziri wa Uchukuzi, Ujenzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa. Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiBAADA ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufanya ziara katika Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA) na kubaini uondoshwaji wa wa kontena 329 bila kulipiwa kodi zaidi ya sh.bilioni 12, Mawakala wa Forodha walifanya ukaguzi kuona kama kuna upotevu wa mapato na kubaini jumla ya kontena 11,884 na magari 2019 yalitolewa bila malipo.Makontena hayo yalitolewa katika bandari kavu ni MOFED 61, DICD 491,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Maofisa 12 wa TRA mbaroni kwa upotevu wa makontena
9 years ago
StarTV30 Dec
Uozo Zaidi Bandarini  Saba matatani kwa upotevu wa mapato ya Sh. Bil. 47.4
Jeshi la Polisi nchini linawashikilia watumishi saba kati ya 15 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania baada ya kubainika kuhusika na upotevu wa mapato ya Shilingi Bilioni 47.4 kutokana na Makontena 11,884 kutolewa bandarini bila malipo.
Pia magari 2,019 yanadaiwa kutolewa bandarini kinyemela na kusababisha upotevu wa mapato wa zaidi ya Shilingi Bilioni moja.
Mbali na makontena hayo ikumbukwe kuwa Desemba 7, mwaka huu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alibaini makontena mengine 2,431...
9 years ago
StarTV19 Dec
Wafanyakazi 10 wa TANESCO wasimamishwa kazi kwa Madai Ya Upotevu Wa Fedha
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limewasimaisha kazi wafanyakazi wake 10 baada ya kubainika kuhusika na wizi wa umeme kwenye mfumo wa mita kwenye minara ya simu uliosababisha upotevu wa mapato wa zaidi ya Shingili Milioni 100.
Miongoni mwa wafanyakazi hao ni pamoja na mafundi, wahasibu na wahandisi umeme ambao wanadaiwa kushirikiana na wateja kuhujumu shirika hilo kwa kupokea rushwa na kisha kusambaza umeme unaotumika bila kulipwa.
Desemba 14, mwaka huu Shirika hili lilitangaza kupata...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-J_vLJhhX6Xc/Vls18a-m9TI/AAAAAAAIJDo/SLLe_MIoVsk/s72-c/x4.jpg)
TAARIFA YA UPOTEVU WA MAKONTENA AZAM ICD TOKA SSB Group of Companies
![](http://1.bp.blogspot.com/-J_vLJhhX6Xc/Vls18a-m9TI/AAAAAAAIJDo/SLLe_MIoVsk/s640/x4.jpg)
Uchunguzi wetu umeonyesha kuwa si kweli kuwa kuna makontena yenye bidhaa zilizoingizwa na kampuni hio ama ni miongoni mwa makontena yaliyohusika katika sakata hilo. Isipokuwa kumetokea upotevu...
9 years ago
Mwananchi03 Dec
TPA yakomalia wamiliki wa makontena tisa Dar
11 years ago
MichuziTPA yaendesha semina kwa wakuu wa idara na wawakilishi wa Wafanyakazi ya mkataba wa huduma kwa mteja
9 years ago
StarTV04 Dec
Ziara Ya Waziri Mkuu TPA akuta Makontena mengine 2,431 yamepotea.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi kumi wa Mamlaka ya Bandari nchini TPA kupisha uchunguzi wa upotevu wa makontena 2,431 yaliyopita chini ya Mamlaka ya Bandari bila kulipiwa kodi kati ya Machi na Septemba mwaka 2014.
Hatua hii inakuja baada ya ziara ya ghafla ya Waziri Mkuu bandarini ambapo amezungukia idara mbalimbali.
Pamoja na hatua hiyo Waziri Mkuu ametaka majina ya vigogo waliohusika na uondoshwaji wa makontena hayo kumfikia kabla ya saa kumi na moja jioni ya...
10 years ago
Habarileo05 Jun
Wakenya 4 mbaroni kwa wizi wa magari
POLISI Mkoa wa Kilimanjaro, inawashikilia wezi wanne wa magari akiwamo mwanamke mmoja wote raia wa Kenya, kwa tuhuma za wizi wa gari na kutaka kulificha nchini Tanzania.
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Askari wawili mbaroni kwa kuteka magari