Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI 35 WASIMAMISHWA KAZI TRA,KAMPUNI 43 ZABAINIKA KUKWEPA KODI.

Kaimu Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dk. Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano na Kaimu Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dk. Philip                                               Mpango jijini Dar es Salam leo.
Na ChalilaKibuda,Globu ya Jamii
BAADA ya Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa kufanya ziara ya kushitukiza katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kubaini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATUMISHI WENGINE WATATU WASIMAMISHWA KAZI TRA

SERIKALI imewasimamisha kazi watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambao jana iliamriwa kwamba watahamishiwa mikoani. Watumishi hao ni Bw. Anangisye Mtafya, Bw. Nsajigwa Mwandengele na Bw. Robert Nyoni.
Uamuzi huo umetolewa leo (Jumamosi, Novemba 28, 2015), na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ili kupisha uchunguzi zaidi wa tuhuma zinazowakabili. Kama ilivyo kwa wenzao sita waliosimamishwa kazi jana (akiwemo aliyekuwa Kamishna Mkuu), nao pia hawaruhusiwi kusafiri kwenda nje...

 

9 years ago

StarTV

Wafanyakazi 10 wa TANESCO wasimamishwa kazi kwa Madai Ya Upotevu Wa Fedha

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limewasimaisha kazi wafanyakazi wake 10 baada ya kubainika kuhusika na wizi wa umeme kwenye mfumo wa mita kwenye minara ya simu uliosababisha upotevu wa mapato wa zaidi ya Shingili Milioni 100.

Miongoni mwa wafanyakazi hao ni pamoja na mafundi, wahasibu na wahandisi umeme ambao wanadaiwa kushirikiana na wateja kuhujumu shirika hilo kwa kupokea rushwa na kisha kusambaza umeme unaotumika bila kulipwa.

Desemba 14, mwaka huu Shirika hili lilitangaza kupata...

 

9 years ago

Mtanzania

27 zaidi wasimamishwa TRA

Pg 1*Watupwa korokoroni, polisi wawachunguza

*Bakhresa na wenzake waanza kulipa kodi

 

NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) wiki hii imewasimamisha kazi watumishi wake 27 wakituhumiwa kuhusika na upotevu na makontena 349 yaliyoisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 80.

Kusimamishwa kwa wafanyakazi hao kunafanya jumla ya waliosimamishwa kwa kashfa hiyo kufikia 35 huku uchunguzi zaidi ukiendelea kufanywa na makachero wa polisi.

Taarifa ya kusimamishwa kwa watumishi...

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

10 years ago

BBCSwahili

Messi matatani kwa kukwepa kodi

Nyota wa timu ya Barcelona na Argentina Lionel Messi anakabiliwa na mashtaka ya ukwepaji wa kulipa kodi

 

11 years ago

BBCSwahili

Scolari adaiwa kukwepa kulipa kodi

Kocha wa timu ya taifa ya Brazil Luiz Felipe Scolari,atachunguzwa na polisi licha ya kocha huyo kukanusha madai kuwa alikwepa kulipa kodi.

 

10 years ago

BBCSwahili

HSBC,imewasaidia wateja kukwepa kodi

Nyaraka zafichua kuwa HSBC, imekuwa ikiwasaidia wateja kukwepa kulipa kodi

 

9 years ago

Mwananchi

Ridhiwani afunguka umiliki wa mali, kukwepa kodi

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amesema hahusiki na madai mbalimbali yanayotolewa dhidi yake yakiwamo ya kuwasaidia baadhi ya wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi.

 

5 years ago

Michuzi

VIWANDA VYATUMIA ENEO LA KANISA KUKWEPA KODI

Na Hassan Mabuye, Wizara ya ArdhiENEO la kanisa la Anglikana lililopo Mtoni-Buza katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam limetumika kukwepa kodi ya pango la ardhi kwa kuendesha biashara vikiwemo viwanda vya wachina na maduka makubwa.
Hayo yamebainika baada ya Mkuu wa kitengo cha Kodi kutoka Wizara ya Ardhi Bw. Denis Masami kutembelea eneo hilo lenye jumla ya ekari 410 ambalo limemilikishwa kwa matumizi ya makazi na siyo biashara.
Mkuu wa kitengo cha kodi alilazimika kufika katika eneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani