Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi Mtwara Vijijini wamtupia lawama Mbunge wao.

Na Joseph Mpangali,

Mtwara.

 

 

Wakazi wa Mtwara Vijijini wameilalamikia Serikali kwa kushindwa kutekeleza ahadi ya kupeleka mtandao wa mawasiliano ya Simu kwa kipindi kirefu sasa.

 

 

Hali hiyo inadaiwa kuwalazimu wakazi hao kutumia simu kama kifaa cha kusikilizia muziki.

 

Licha ya Rais Jakaya Kikwete kufanya ziara wilaya Mtwara na kutoa maagizo ya kufuatilia kwa Mbunge wa jimbo hilo ambaye ni Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Hawa Ghasia lakini mpaka sasa hakuna...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wamshitaki mwenyekiti wao kwa mbunge

WAKAZI wa Kijiji cha Kongogo wilayani hapa mkoani Dodoma, wamemshitaki Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Daudi Husein kwa Mbunge wao, Omar Badwel (CCM), kwa madai ya kujigeuza Mungu mtu katika utendaji...

 

11 years ago

GPL

WANANCHI JIMBO LA CHALINZE KUMCHAGUA MBUNGE WAO LEO

BAADA ya kampeni zilizodumu kwa mwezi mmoja, hatimaye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani unatarajiwa kufanyika leo ili kumpata mrithi wa Said Bwanamdogo aliyefariki dunia Januari 22 mwaka huu kutokana na maradhi. Katika kipindi chote cha kampeni, vyama vitano vilichuana kumwaga sera na usiku na mchana katika Kata 15 za jimbo hilo, kila kimoja kikiamini ndicho kitaibuka mshindi na hatimaye...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI KIJIJI CHA MADINDO MLANGALI WASHIRIKIANA NA MBUNGE NA DIWANI WAO KUJENGA MRADI WA MAJI WA MILIONI 15

Mbunge Filikunjombe akishiriki kuchimba mfereji  wa maji kijiji cha MadindoWananchi  wa madindo wakishirikiana na mbunge wao Filikunjombe kukamilisha mradi wa maji
Diwani  wa kata ya Mlangali kushoto na katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Njombe  wakijumuika na wanawake wa  kijiji cha madindo kucheza kwa furaha baada ya mradi huo kukamilika ,kulia ni mbunge Filikunjombe akishuhudia Diwani wa kata ya  Mlangali Faraja Mlelwa akisaidia  kukunja nguo kwa ajili ya kumwongeza mbunge Filikunjombe...

 

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO

Akizungumza na waandishi wa habari aliyekuwa katibu wa umoja wa wanawake wa {UWT} chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Anna Mathayo Chacha alisema kuwa lowasa  ndie chaguo lao kwa kuwa ni kiongoziwanayeamini kuwa ataivusha nchi kutoka hapa ilipo ikiwa ni pamoja na kukipa heshima  na nguvu chama.Mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Daniel Kegocha ambaye pia ni diwani aliomba chama hicho kuona umuhimu wa kumpitisha jina la Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi wa Morogoro mjini wamnunulia fomu Abood ili aendelee kuwa mbunge wao Jimbo Morogoro mjini

 

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood akipokea michango ya wanafunzi waliojitokeza kumchangia mbunge huyu ili achukue fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi Mara baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wa Mbunge huyo ambaye amefanya mambo mengi ya maendeleo ikiwemo kuwalipia ada zaidi ya wanafunzi 500 wasiokuwa na uwezo wa kujilipia ada na wanaoishi katika mazingira magumu.

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood, akipokea kiasi cha...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MTWARA VIJIJINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili wilaya ya Mtwara kijijini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Mtwara vijijini ,Katibu Mkuu wa CCM anazunguka nchi nzima kufuatilia utekelezaji wa ilani na kuimarisha chama chetu. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akisisitiza wananchi wa kata ya Nanyamba kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa...

 

9 years ago

Habarileo

Mtwara Vijijini watakiwa kuacha tofauti za kisiasa

MADIWANI wa Halmashauri ya Mtwara Vijijini mkoani Mtwara, wametakiwa kuacha tofauti zao za kisiasa badala yake washikamane katika kuijenga Halmashauri hiyo na kuwaletea wanachi waliowachagua maendeleo kwa haraka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtwara Vijijini walia na ndoto ya maji ya uhakika

KUTOKANA na shida ya maji ya muda mrefu Wilaya ya Mtwara Vijijini mkoani hapa, Halmashauri ya Wilaya iliyageukia mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ili yawasadie kutatua adha hiyo. Halmashauri ilifanya hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani