Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mionzi ni nini katika matibabu ya saratani?

WAGONJWA wa saratani hupewa tiba ya mionzi ili kupunguza uvimbe. Tiba hii hufanywa kwa lengo la kumaliza ugonjwa au kama tiba shufaa (nafuu ya ugonjwa) na mara nyingi hutolewa na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Fahamu tiba ya mionzi kwa maradhi ya saratani (4)

Kama nilivyoeleza wiki iliyopita kuwa tiba ya mionzi nje ya mwili hutolewa kwa uangalifu mkubwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha athari za mionzi kwa mgonjwa ziwe za kiwango cha chini iwezekanavyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Saratani na matibabu TZ

Nchini Tanzania baadhi ya mambo yanayowakumba wagonjwa wa Saratani ni unyanyapaa na dhana potofu kuhusu ugonjwa huo

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wadau wasaidie Albino kupatiwa matibabu saratani ya ngozi

WATU wenye ulemavu wa ngozi (albino), wamekuwa wakisumbuliwa na maradhi ya ngozi hususan saratani ya ngozi. Maradhi hayo hadi sasa, baadhi ya watu huyachukulia kuwa labda hayana tiba, hiyo inatokana...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri Simba azindua kampeni kuchangia matibabu ya saratani

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amezindua kampeni ya kuchangia matibabu ya saratani ya matiti na shingo ya kizazi.

 

11 years ago

GPL

AKINA MAMA WAPATIWA MATIBABU SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

AKINA mama  wakazi wa Wilaya ya Bahi mkoani hapa, leo (Jumatatu) watapatiwa huduma ya bure ya matibabu ya saratani ya shingo ya kizazi wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuwagundua wanawake wenye tatizo hilo katika hatua za awali kwenye tukio ambalo mgeni rasmi atakuwa mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete. Mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete. Katika taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ushirikiano wa pamoja unatakiwa ili kuhakikisha wagonjwa wanaougua saratani wanapata matibabu

img_7026-2

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.

Na Anna Nkinda – Maelezo, New York

Ushirikiano wa pamoja unatakiwa ili kuhakikisha wagonjwa  wanaougua saratani za mlango wa kizazi, matiti na  tezi dume wanapata matibabu kwa wakati na hivyo kupunguza idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa huo.

Rai hiyo imetolewa  na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mjadala wa wake wa marais wa Afrika wa kupambana na saratani za mlango wa kizazi, matiti na tezi dume uliofanyika katika kituo cha Ubunifu...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA AFYA, DR. SEIF, AZINDUA KITUO CHA MATIBABU YA SARATANI HOSPITALI YA AGA KHAN‏

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Dk. Seif Seleman Rashid akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya matibabu ya saratani kwa mara ya kwanza katika Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliohudhuriwa na mtoto kutoka familia ya familia ya Aga Khan, Zahra ulifanyika katika ukumbi uliopo hospitalini hapo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif Seleman Rashid (kulia) akibadilishana mawazo na mtoto...

 

9 years ago

Vijimambo

MABADILIKO KATIKA UPASUAJI WA UVIMBE WA SARATANI

Dk. Umanath Nayak, mshauri mkuu wa  magonjwa ya saratani ya kichwa na shingo pamoja na upasuaji kwa njia ya roboti katika hospitali ya saratani ya Apollo Hyderabad nchini India

Na Mwandishi Wetu, Sekta ya afya duniani imeshuhudia mapinduzi yanayolenga kuongeza umri wa kuishi, ubora wa maisha, njia mbadala za uchunguzi, njia bora za matibabu, na pia ufanisi na ubora katika huduma za afya. Teknohama imekuwa na mchango mkubwa sana katika maendeleo ya ndani ya sekta hii muhimu. Makampuni...

 

11 years ago

GPL

MTOTO ALIYEJERUHIWA KATIKA SHAMBULIO KANISANI AFIKISHWA NAIROBI KWA MATIBABU

Mtoto Satrin akiwa amebebwa na baba yake mzazi Benson Osinya ndani ya ndege kuelekea jijini Nairobi kwa matibabu. MTOTO Satrin Osinya aliyejeruhiwa na risasi iliyomuua mama yake katika shambulio la kigaidi lililofanywa kwenye kanisa la Joy of Jesus huko Likoni, Mombasa nchini Kenya Jumapili iliyopita, jana amefikishwa jijini Nairobi kwa matibabu. Mtoto Satrin Osinya wakati akipatiwa matibabu mjini Mombasa baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani