Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AKINA MAMA WAPATIWA MATIBABU SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

AKINA mama  wakazi wa Wilaya ya Bahi mkoani hapa, leo (Jumatatu) watapatiwa huduma ya bure ya matibabu ya saratani ya shingo ya kizazi wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuwagundua wanawake wenye tatizo hilo katika hatua za awali kwenye tukio ambalo mgeni rasmi atakuwa mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete. Mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete. Katika taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAMA YAANDAA MKUTANO WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI NA MATITI KWA AKINA MAMA AFRIKA MASHARIKI

Mkurugenzi wa Afya katika Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Dkt. Sarah Maongezi akiongea wakaati wa ufunguzi wa mkutano wa uragibishi wa saratani ya shingo ya kizazi na matiti kwa akina mama unaofanyika Hoteli ya Courtyard hapa Da es Salaam tarehe 11.9.2014.Dkt. Williama Kafura akifungua rasmi mkutano wa uragibishi wa saratani ya mlango wa kizazi na matiti kwa niaba ya Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kwa akina mama katika nchi za Afrika Mashariki. Katibu wa Taasisi ya Wanawake na...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UPIMAJI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA AKINA MAMA HAPA NCHINI.

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi upimaji wa saratani ya  mlango wa kizazi wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani katika sherehe iliyofanyika katika uwanja wa Nyamagana huko Mwanza  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi aliwakabidhi Waganga wakuu wa mikoa ya Mwanza, Iringa, Mbeya na Mara vifaa  vya kupima saratani hiyo. Pichani Mama Salma Kikwete...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA AZINDUA RASMI UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI HUKO BAHI - MKOANI DODOMA.

 Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa wilaya ya Bahi muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi kampeni ya upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake katika wilaya ya Bahi mkoani Dodoma  Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya kutokomeza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake wa Wilaya ya Bah  Mama Salma Kikwete akionyesha vifaa mbalimbali vinavyotumika na madaktari wakati wa kuwapima wanawake ili kufahamu kama...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama Salma Kikwete awataka wanaume kuwaunga mkono wake zao kupima saratani za matiti na shingo ya kizazi

mam10

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kulia). Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kwenye Hospitani Kuu ya Jeshi Lugalo kwenye Kitengo cha Uzazi na Mtoto kilichoko Mwenge tarehe 27.2.2015. Aliyesimama pembeni kwa Mama Salma ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando na aliyesimama kulia kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA AFYA KUHUSU SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI, MATITI NA TEZI HUKO NEW YORK.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kikao cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kichozungumzia masuala ya saratani ya shingo ya kizazi, saratani ya matiti na saratani ya tezi la kiume huko New York tarehe 24.9.2014. 
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Penehupifo Pohamba, Mke wa Rais wa Namibia muda mfupi kabla ya kuhudhuria mkutano Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi

SARATANI ya shingo ya kizazi ambayo kitaalamu huitwa Cervix, ni saratani inayoongoza kwa wingi nchini Tanzania na inawaathiri wanawake wenye umri kati ya miaka 25 na 50. Inachangia asilimia 60...

 

11 years ago

Habarileo

Bahi kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi

HALMASHAURI ya wilaya ya Bahi kwa kushirikiana na hospitali ya Dodoma Medical Christian Medical Clinic(DCMC ) na Shirika la Maendeleo la Uswisi, wanatarajiwa kufanya kampeni kubwa ya uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi wilayani Bahi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani