Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO ALIYEJERUHIWA KATIKA SHAMBULIO KANISANI AFIKISHWA NAIROBI KWA MATIBABU

Mtoto Satrin akiwa amebebwa na baba yake mzazi Benson Osinya ndani ya ndege kuelekea jijini Nairobi kwa matibabu. MTOTO Satrin Osinya aliyejeruhiwa na risasi iliyomuua mama yake katika shambulio la kigaidi lililofanywa kwenye kanisa la Joy of Jesus huko Likoni, Mombasa nchini Kenya Jumapili iliyopita, jana amefikishwa jijini Nairobi kwa matibabu. Mtoto Satrin Osinya wakati akipatiwa matibabu mjini Mombasa baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TISA WAUAWA KATIKA SHAMBULIO KANISANI MAREKANI

Hali ya sintofahamu ikitanda katika eneo la Charleston baada ya kutokea  shambulio hilo. Askari wakiwa katika harakati za kuimarisha ulinzi eneo la tukio. Barabara zikifungwa. Waumini wa kanisa la AME na watu wa majirani wa eneo la tukio wakiwa katika majonzi baada ya kutokea…

 

5 years ago

BBCSwahili

Ubalozi wa Marekani waonya dhidi ya shambulio la kigaidi katika hoteli moja Nairobi Kenya

Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa onyo kwamba magaidi huenda wakashambulia hoteli moja kubwa nchini Nairobi.

 

9 years ago

Bongo5

Wateja wa Mall mpya ya Nairobi waondolewa kwa hofu ya shambulio la kigaidi

Wateja waliokuwa ndani ya mall mpya na kubwa iliyopo jijini Nairobi Kenya waliondolewa jana baada ya mtu aliyehisiwa kuwa na bomu la kutengeneza kuonwa na walinzi. Polisi walidai kuwa watu watatu walikamatwa kufuatia tukio hilo kwenye Garden City Mall iliyojengwa kwa dola milioni 250. Mall za Kenya zimekuwa kwenye ulinzi wa hali ya juu tangu […]

 

11 years ago

CloudsFM

MMOJA WA MAJERUHI WA BOMU ARUSHA AKIMBIZWA NAIROBI,KENYA KWA MATIBABU ZAIDI

Jumatatu July 07 kwenye moja ya migahawa iliyopo eneo la Uzunguni Jijini Arusha,Watu wanane waliripotiwa kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu.
Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi Kamishina Issaya Mngulu amesema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa nane usiku ambapo watu wasiojulikana walirusha bomu hilo ndani ya mgahawa ujulikanao kamaVama Traditional Indian Cusino uliopo jirani na viwanja vya Gymkhana jijini Arusha.

Pamoja na juhudi ambazo zimekuwa zikifanywa na Jeshi la Polisi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulio lawaua watu 9 kanisani US

Polisi katika jimbo la South Carolina nchini Marekani wamesema mtu aliyejihami kwa bunduki amewapiga risasi na kuwaua watu 9 kanisani

 

11 years ago

Michuzi

Msaada wa Matibabu kwa Mtoto Maimuna Yahaya (11)

   Pichani ni Mtoto Maimuna Yahaya  Mtoto Maimuna Yahaya akiwa na Mama yake Mzazi  Tunu Juma  **********************
Msaada wa Matibabu kwa mtoto Maimuna Yahaya Mtoto Maimuna Yahaya (11) anayesoma shule ya Msingi ya watoto wenye mahitaji maalum (wenye ulemavu) ya Irente Rainbow (Lushoto- Tanga) Darasa la pili, anasumbuliwa na tatizo la mifupa na ukubwa wa kichwa tangu kuzaliwa kwake, tatizo lililompelekea kuwa na ulemavu wa viungo na mtindio wa Ubongo. Mama wa mtoto huyo, Bi. Tunu...

 

10 years ago

Vijimambo

Hatimae Bi Moza afanikisha kumpeleka mtoto wake India kwa matibabu


Bi Moza akiwa akimshindikiza mtoto wake Moh'd Saidi, Nchini India kwa matibabuBi Moza Moh'd Khamis anapenda tena kutoa shukurani za dhati kwa wale wote waliochangia kwa hali na mali kwa mtoto wake Moh'd Said Moh'd, kwenda kufanyiwa matibabu ya upandikizaji wa figo, nchini India.Mapema asubuhi ya leo Bi Moza aliongea na blog ya swahilivilla ili kutoa taarifa kwa kukamilika safari yake ya kwenda nchini India pamoja na kutaka tumuombe Dua za kumtakia kila la kheri katika safari hiyo.Moh'd...

 

5 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA TISA AOMBA MSAADA KWA WASAMARIA WEMA AKAPATE MATIBABU YA MOYO MUHIMBILI


NA  YEREMIAS  NGERANGERA…NAMTUMBOMtoto mwenye umri wa miaka  tisa na mwanafunzi wa darasa la tatu  katika shule ya msingi Likuyuseka wilayani Namtumbo  mkoani Ruvuma Jeska James Kifaru anaomba kutoka kwa wasamaria wema kumsaidia mchango wa fedha ili aweze  kwenda matibabu ya moyo katika hospitali ya Taifa Muhimbili  baada ya wazazi wake kutokuwa na uwezo wa kumfikisha katika hospitali hiyo.Akiongea akiwa katika ofisi ya Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo  Jeska alisema anaomba msaada kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani