Wateja wa Mall mpya ya Nairobi waondolewa kwa hofu ya shambulio la kigaidi
Wateja waliokuwa ndani ya mall mpya na kubwa iliyopo jijini Nairobi Kenya waliondolewa jana baada ya mtu aliyehisiwa kuwa na bomu la kutengeneza kuonwa na walinzi. Polisi walidai kuwa watu watatu walikamatwa kufuatia tukio hilo kwenye Garden City Mall iliyojengwa kwa dola milioni 250. Mall za Kenya zimekuwa kwenye ulinzi wa hali ya juu tangu […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili27 Feb
Ubalozi wa Marekani waonya dhidi ya shambulio la kigaidi katika hoteli moja Nairobi Kenya
Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa onyo kwamba magaidi huenda wakashambulia hoteli moja kubwa nchini Nairobi.
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Tunisia yatibua shambulio la kigaidi
Mamlaka nchini Tunisia imesema kuwa imewakamata wapiganaji 16 na kutibua shambulio ambalo huenda lingekuwa kubwa kuwahi kutokea mwezi huu.
10 years ago
BBCSwahili16 Jul
Ufaransa yakwamisha shambulio la Kigaidi
Waziri wa Mambo ya ndani wa Ufaransa Bernard Cazeneuve amesema vyombo vya usalama nchini humo vimefanikiwa kuwakamata watu wane wanaodaiwa kupanga njama za kigaidi
11 years ago
BBCSwahili23 Oct
Canada yakumbwa na shambulio la Kigaidi
Mwanajeshi mmoja ameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa nje na ndani ya Bunge la Canada mjini Ottawa.
11 years ago
GPL
MTOTO ALIYEJERUHIWA KATIKA SHAMBULIO KANISANI AFIKISHWA NAIROBI KWA MATIBABU
Mtoto Satrin akiwa amebebwa na baba yake mzazi Benson Osinya ndani ya ndege kuelekea jijini Nairobi kwa matibabu. MTOTO Satrin Osinya aliyejeruhiwa na risasi iliyomuua mama yake katika shambulio la kigaidi lililofanywa kwenye kanisa la Joy of Jesus huko Likoni, Mombasa nchini Kenya Jumapili iliyopita, jana amefikishwa jijini Nairobi kwa matibabu. Mtoto Satrin Osinya wakati akipatiwa matibabu mjini Mombasa baada ya...
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Shambulio la kigaidi laua nchini Kenya
Watu wenye silaha wameshambulia mji wa Wajir kaskazini mwa Kenya na kuua mtu mooja na wengine wanne wamejeruhiwa
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Obama: Shambulio la California lilikuwa la kigaidi
Rais Barack Obama amesema shambulio la San Bernardino wiki jana lilikuwa la kigaidi lakini akasema waliotekeleza mauaji hawakuwa na uhusiano na makundi kutoka nje.
11 years ago
GPL
KENYA YAADHIMISHA MWAKA 1 WA SHAMBULIO LA KIGAIDI
Baadhi ya majeruhi wakitolewa eneo la maduka ya Westgate baada ya shambulio hilo. WANANCHI wa Kenya leo wanaadhimisha mwaka mmoja tangu shambulizi la kigaidi katika maduka ya Westgate ambapo takriban watu 67 walipoteza maisha wakiwemo washukiwa wanne wa shambulio hilo.
Shambulio hilo…
10 years ago
GPL
SHAMBULIO LA KIGAIDI LAUA 2 NA KUJERUHI 30 KENYA
WATU wawili wamepoteza maisha huku takribani 30 wakijeruhiwa baada ya watu wapatao watano wanaodaiwa kufunika nyuso zao kushambulia Chuo Kikuu cha Garrissa kilichopo Kaskazini mashariki mwa Kenya. Shambulio hilo linadaiwa kufanyika mapema leo wakati waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa katika sala yao ya alfajiri. Watu walioshuhudia tukio hilo wameeleza kuwa kuna majeruhi wengi ndani ya chuo hicho. Wapiganaji hao wanadaiwa kuwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania