Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Cyberknife’ mfumo wa kiroboti wa upasuaji kwa mionzi usiotumia kisu

Cyberknife-swa

Cyberknife-swa-2

Mfumo wa upasuaji wa kiroboti usiotumia kisu (Cyberknife) ni njia m’badala ya upasuaji usiokuwa na madhara kwa matibabu ya uvimbe wa saratani na usio wa saratani popote katika mwili, hii ni pamoja na kibofu, mapafu, ubongo, uti wa mgongo, ini, kongosho na figo. Matibabu yanayotoa mihimili ya kiwango cha juu ya mionzi kwa uvimbe uliokomaa- yanatoa matumaini mapya kwa wagonjwa duniani kote.

Mfumo wa upasuaji wa kiroboti unaotumia mionzi unaboresha mbinu nyingine za upasuaji kwa mionzi kwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Fahamu tiba ya mionzi kwa maradhi ya saratani (4)

Kama nilivyoeleza wiki iliyopita kuwa tiba ya mionzi nje ya mwili hutolewa kwa uangalifu mkubwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha athari za mionzi kwa mgonjwa ziwe za kiwango cha chini iwezekanavyo.

 

9 years ago

Michuzi

Mtaalamu wa Upasuaji wa Uti wa Mgongo na Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu kutoka Hospitali za Apollo kuendesha huduma Dar

Na Mwandishi Wetu,

Tanzania ni moja ya nchi ambazo ina uhaba mkubwa wa madaktari bingwa wa mfumo wa fahamu kitendo kinachopelekea nchi kupoteza fedha nyingi kwa kuwapeleka wagonjwa wa matatizo ya aina hiyo nje ya nchi kupata matibabu na ushauri.
Inakadiriwa kuwa watoto wachanga 1000 kati 4000 wanaozaliwa na tatizo la mfumo wa fahamu hupatiwa matibabu huku wengine 3000 wakishindwa kupatiwa matibabu.
Kutokana na hali hiyo, Hospitali ya Apollo ya nchini India imemleta nchini daktari bingwa wa...

 

5 years ago

Michuzi

MTAMBO WA KISASA WA KUVUNJA MAWE KWENYE MFUMO WA MKOJO BILA UPASUAJI WATUA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Charles James, Globu ya JamiiHOSPITALI ya Benjamin Mkapa ya jijini Dodoma imezindua huduma ya kwanza ya kisiasa ya kuvunja mawe kwenye mfumo wa mkojo bila kufanya upasuaji.
Huduma hiyo imezinduliwa baada ya kuwasili kwa mtambo wa kisasa unaotumia mionzi katika kufanya huduma hiyo tofauti na awali ambapo wagonjwa walikua wakifanyiwa upasuaji.
Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dodoma, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali hiyo, Dkt. Alphonce Chandika amesema huduma hiyo itafanyika kwa mara...

 

10 years ago

Vijimambo

TFDA NA TAASISI YA TRADEMARK EAST AFRICA (TMEA) WAZINDUA MFUMO WA UTOAJI VIBALI KWA MFUMO WA KIELEKITRONIKI

 Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Kambi (kulia), akibonyeza kituvye Dar es Salaam leo asubuhi, kuashiria uzinduzi wa mfumo wa utoaji vibali kwa njia ya kielekitroniki (e-portal) ambao utawezesha Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), kuhudumia wateja wake kwa kutumia mtandao wa intaneti. Mpango huo unaendeshwa kwa ushirikiano wa TFDA na Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) Viongozi wakiwa meza kuu wakifuatilia uzinduzi huo.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo ya uzinduzi. Wadau...

 

10 years ago

Habarileo

Dereva wa bodaboda auawa kwa kisu

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahri Kidavashari MWENDESHA pikipiki maarufu bodaboda, Zacharia Lungwa (24) mkazi wa Kitongoji cha Kawajense mjini Mpanda katika mkoa wa Katavi ameuawa kwa kuchomwa na kisu na abiria wake aliyekuwa amembeba.

 

11 years ago

Habarileo

Mume aua mke kwa kisu

WATU watano wamekufa mkoani Rukwa katika matukio tofauti, akiwemo Silvia Patrick aliyeuawa na mumewe kwa kuchomwa kisu kifuani kutokana na wivu wa mapenzi. Joseph Dominick (33) baada ya kumuua mkewe huyo mwenye miaka 26, alijaribu kujiua kwa kujichoma kisu tumboni, lakini hakufa na amelazwa katika Kituo cha Afya cha Kamasamba wilayani Momba mkoani Mbeya akiwa chini ya ulinzi.

 

11 years ago

GPL

WIVU ULIVYOMUUA DENTI KWA KISU

Na Joseph Ngilisho, ARUSHA
SIRI nzito ya mauaji ya kinyama ya mwanafunzi wa Chuo cha Savanna Bridge cha jijini Arusha, Winfrida Akunay (18) aliyechomwa kisu mara sita eneo la shingo na kifua mbele ya baba yake mzazi imegundulika, Amani linakupatia. Winfrida Akunay (18) enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa chanzo cha ndani, mtuhumiwa wa mauaji hayo, Robert Isaac (22) alitimiza ukatili huo nyumbani kwa baba wa marehemu Majengo Juu...

 

11 years ago

Mwananchi

Auawa kwa kuchomwa kisu na mumewe

>Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa, akiwamo mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Isangati Mbeya Vijijini aliyechomwa kisu na mume wake wakati akiwa amelala.

 

11 years ago

Habarileo

Mkuu wa Upelelezi auawa kwa kisu

MKUU wa Upelelezi, Kituo cha Polisi Isebania Wilaya ya Kurya West, Kenya kilicho mpakani na Tanzania, John Kaduri ameuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na mtuhumiwa wa vitendo vya uhalifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani