Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIVU ULIVYOMUUA DENTI KWA KISU

Na Joseph Ngilisho, ARUSHA
SIRI nzito ya mauaji ya kinyama ya mwanafunzi wa Chuo cha Savanna Bridge cha jijini Arusha, Winfrida Akunay (18) aliyechomwa kisu mara sita eneo la shingo na kifua mbele ya baba yake mzazi imegundulika, Amani linakupatia. Winfrida Akunay (18) enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa chanzo cha ndani, mtuhumiwa wa mauaji hayo, Robert Isaac (22) alitimiza ukatili huo nyumbani kwa baba wa marehemu Majengo Juu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DENTI AJICHOMA KISU! KWA KUCHOSHWA NA USALITI WA MPENZI WAKE

Moza Kasim Mohemed akiwa hoi baada ya kujichoma kisu cha tumbo.
Stori: Musa Mateja wa GPL
LOO! Mwanafunzi wa Chuo cha T.I.A tawi la mkoani Singida, Moza Kasim Mohemed (20) ambaye ni mkazi wa jijini Dar es Salaam, amejichoma kisu tumboni kwa madai ya kuchoshwa na usaliti wa mpenzi wake aitwaye Joel ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho.

Tukio hilo la kushangaza lilitokea usiku wa kuamkia Oktoba 10, mwaka huu maeneo ya Jovena katika Hosteli za Miami ambapo Moza alikuwa akiishi na mpenzi wake...

 

9 years ago

Habarileo

Mwalimu afa kwa kuchomwa kisu, kisa wivu wa mapenzi

WATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti mkoani Kilimanjaro, likiwamo la mwalimu wa shule ya sekondari Minja wilayani Mwanga, Tumaini Magila (27) kumuua mumewe Sweetbert Magila (48) kwa kumchoma kisu, kutokana na wivu wa kimapenzi.

 

10 years ago

GPL

DENTI AJICHOMA KISU!

Stori: Musa Mateja
LOO! Mwanafunzi wa Chuo cha T.I.A tawi la mkoani Singida, Moza Kasim Mohemed (20) ambaye ni mkazi wa jijini Dar es Salaam, amejichoma kisu tumboni kwa madai ya kuchoshwa na usaliti wa mpenzi wake aitwaye Joel ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho. Moza Kasim Mohemed akiwa hoi baada ya kujichoma kisu cha tumbo. Tukio hilo la kushangaza lilitokea usiku wa kuamkia Oktoba 10, mwaka huu maeneo ya Jovena katika...

 

10 years ago

GPL

DENTI MWENZAKE LULU ACHOMWA KISU, AFARIKI

WAANDISHI WETU, DAR CHAMIWA Adamu (23), kijana ambaye ni mkazi wa Kilimahewa- Manzese jijini Dar, ameuawa kwa kuchomwa kisu cha shingo na mtu aliyetambulika kwa jina moja la Mpelu kisa kikidaiwa ni shilingi mia mbili tu!
Marehemu Chamiwa (pichani)alikuwa mwanafunzi mwenzake na staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye Chuo cha Magogoni, Dar. Marehemu Chamiwa Adamu enzi za uhai wake. Tukio la...

 

10 years ago

Habarileo

Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kwa wivu,Mume amjeruhi mkewe kwa shoka

Mume amcharanga mkewe kwa kumshuku kuwa ana bwana anyempa kiburi kutoka Singapore,na ambaye humrejesha nyumbani mara moja kwa mwezi.

 

10 years ago

Habarileo

Dereva wa bodaboda auawa kwa kisu

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahri Kidavashari MWENDESHA pikipiki maarufu bodaboda, Zacharia Lungwa (24) mkazi wa Kitongoji cha Kawajense mjini Mpanda katika mkoa wa Katavi ameuawa kwa kuchomwa na kisu na abiria wake aliyekuwa amembeba.

 

11 years ago

Mwananchi

Auawa kwa kuchomwa kisu na mumewe

>Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa, akiwamo mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Isangati Mbeya Vijijini aliyechomwa kisu na mume wake wakati akiwa amelala.

 

11 years ago

Habarileo

Mume aua mke kwa kisu

WATU watano wamekufa mkoani Rukwa katika matukio tofauti, akiwemo Silvia Patrick aliyeuawa na mumewe kwa kuchomwa kisu kifuani kutokana na wivu wa mapenzi. Joseph Dominick (33) baada ya kumuua mkewe huyo mwenye miaka 26, alijaribu kujiua kwa kujichoma kisu tumboni, lakini hakufa na amelazwa katika Kituo cha Afya cha Kamasamba wilayani Momba mkoani Mbeya akiwa chini ya ulinzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani