DENTI AJICHOMA KISU!
![](http://api.ning.com:80/files/7C-F8e0yGIYxCRvXu3fCizytbuCp2xiigobSYAwqzZkkDXnn8lGxzgFHb2qhYS-HyooFp6sZ2Fefz8vRhqukpu0SXKSbke46/denti.jpg?width=650)
Stori: Musa Mateja LOO! Mwanafunzi wa Chuo cha T.I.A tawi la mkoani Singida, Moza Kasim Mohemed (20) ambaye ni mkazi wa jijini Dar es Salaam, amejichoma kisu tumboni kwa madai ya kuchoshwa na usaliti wa mpenzi wake aitwaye Joel ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho. Moza Kasim Mohemed akiwa hoi baada ya kujichoma kisu cha tumbo. Tukio hilo la kushangaza lilitokea usiku wa kuamkia Oktoba 10, mwaka huu maeneo ya Jovena katika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-gOL8Kw6AmAU/VDzivY70CoI/AAAAAAADJr8/ZQLRmw6dgus/s72-c/dent5.jpg)
DENTI AJICHOMA KISU! KWA KUCHOSHWA NA USALITI WA MPENZI WAKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-gOL8Kw6AmAU/VDzivY70CoI/AAAAAAADJr8/ZQLRmw6dgus/s1600/dent5.jpg)
Stori: Musa Mateja wa GPL
LOO! Mwanafunzi wa Chuo cha T.I.A tawi la mkoani Singida, Moza Kasim Mohemed (20) ambaye ni mkazi wa jijini Dar es Salaam, amejichoma kisu tumboni kwa madai ya kuchoshwa na usaliti wa mpenzi wake aitwaye Joel ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho.
Tukio hilo la kushangaza lilitokea usiku wa kuamkia Oktoba 10, mwaka huu maeneo ya Jovena katika Hosteli za Miami ambapo Moza alikuwa akiishi na mpenzi wake...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6Hhhn2uA7i7bbe1wIobmF1d8rXDNQToJBo1ljg89sN6VZbxTAz6Tp1AHeBily3KnYeDfJl4os-fVR3ge3xr3ZfZ1/wivunoma.jpg?width=650)
WIVU ULIVYOMUUA DENTI KWA KISU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/afJNJUtdOc4QBSWFJlwKHnNAqwq06PoMxdpASpB-LgjmQWlUrSzsVp681KkP9iHctbmIanzAvVRr7TarL27DnFQemMcrEFz-/Amanback80.gif)
DENTI MWENZAKE LULU ACHOMWA KISU, AFARIKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVci2xh-RbVZdmsCtZdlDZXt*Scu6AJQ3BiRI38OkVee44RS-*FbHSNKd2ipa34c3PhbV4EoUGGIfz40L9XosjlC/kijana2.jpg?width=650)
KIJANA AJICHOMA CHUPA, KISA... MAISHA MAGUMU
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Ajichoma moto hadi kufa kwa wivu wa mapenzi
MWANAKIJIJI wa Malolwa wilayani Sumbawanga Mkoa wa Rukwa, Ndekile Sunguli (38) amejiua kwa kujichoma moto ndani ya nyumba yake kwa wivu wa mapenzi. Kifo hicho kilitokea Septemba 29 mwaka huu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGEL7fUSpggh6kbUgLNTQwLGcYt3pUq7Md6303qUGjZdyS*slmQBiaJZaKRho6YItU5xOJ4CVtaCSFrhWyxoBCGI/achomwaafa.jpg?width=650)
ACHOMWA KISU, AFIA POLISI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mMRmJLLEzVGnhM71mrtL3LvPfgUr7yI1x44j3JDeetp3bjhohzMMk1ibWTtuPbzYsIEwN07Q0t-SdnhE4f0E9OhSX8yaQZX0/5.jpg?width=650)
MUME ALIVYOMCHOMA KISU HAWARA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JgWHSTt60eu8IdRyLLb35CEFqhAIia2rHbjAvOWRH-Qsih4TjvNh1ZtRyjtI2zxYj2FM2yfnHVgZIW3UTkkufjoWGVC6MlWN/KISU.jpg?width=650)
ACHOMWA KISU AKIMTETEA MKEWE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3wbVtrmvcpD56TY4KRztRErYs2yCTXBdiJKsF0FzQQ71fEXtAXStFJLlCKlE3RvrWpwPQuYbffEOoEZGuLuHI9i/FRONTJUMAMOSI90.jpg?width=650)
DIAMOND NUSURA ACHOMWE KISU!