Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa wivu,Mume amjeruhi mkewe kwa shoka

Mume amcharanga mkewe kwa kumshuku kuwa ana bwana anyempa kiburi kutoka Singapore,na ambaye humrejesha nyumbani mara moja kwa mwezi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mume amkata mkewe sehemu za siri kwa wivu

Mkazi wa Mtaa wa King’azi, Mbezi Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam (jina tunalihifadhi), amejeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwamo kukatwa sehemu za siri na mumewe kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

 

10 years ago

GPL

MUME AMNYONGA MKEWE, KISA WIVU

Stori: Waandishi Wetu
INAUMA sana! Katika kinachoonekana kama ni wivu wa kimapenzi, dada mmoja aliyefahamika kwa jina la Magdalena Lucas ( 23) ameuawa kikatili na ‘mumewe’ aliyetajwa kwa jina la Stephano Lucas (28) nyumbani kwao maeneo ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam wiki iliyopita baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani na mwili wake kufungiwa chumbani kwa siku tatu. Magdalena Lucas enzi za uhai wake....

 

10 years ago

GPL

KISA WIVU MUME AMFYEKA MGUU MKEWE!

Stori:Gladness Mallya
Maumivu ya kufa! Akiwa ananyonyesha kichanga wake, dakika chache mwanamama Neema Iwena hakujua kama angenusurika kufa baada ya kukatwa shingoni, kichwani kisha kufyekwa mguu wa kulia na mumuwe, Victor Nzali, kisa kikidaiwa ni wivu wa kimapenzi. Mwanamama Neema Iwena aliyekatwa mapanga na mumuwe, Victor Nzali.
Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, tukio hilo la kutisha, kusikitisha na la ukatili wa kijinsia...

 

10 years ago

Habarileo

Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi

Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwamo la mwanamke mmoja kudaiwa kuuawa na mume wake kutokana na wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

Habarileo

Aua mkewe mjamzito wa miezi 9 kwa wivu

Kamanda wa Polisi, mkoa wa Rukwa, Jacob MwaruandaMLINZI wa usiku katika Ofisi za Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Florence Kazonde (35) amejinyonga baada ya kumuua kikatili kwa kumkaba koo mkewe aliyekuwa na ujauzito wa miezi tisa, Emilia Mzui (30).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mume aua mke kwa wivu wa mapenzi

NEEMA Sanga (33), mkazi wa Mngeta wilayani Kilombero mkoani hapa, ameuwawa nyumbani kwake kwa kucharangwa mapanga na anayedaiwa kuwa mumewe, Laurian Labani, kwa wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa...

 

10 years ago

GPL

MUME AMLIPUA MKEWE KWA PETROLI

Na Igenga Mtatiro, Butiama
Mwanamke mmoja, Kudra Janja  mkazi wa  Kijiji cha Bwai, wilayani Butiama mkoani Mara amelipuliwa kwa petroli na mumewe, Simon Otieno  kwa kile kilichodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.Katika tukio hilo pia mtoto aliyejulikana kwa jina la Tatu Simon (1) alifariki dunia muda mfupi baada ya kuungua kwa moto katika unyama huo uliofanywa na baba yake mzazi. Habari kutoka katika kijiji hicho zinasema...

 

9 years ago

GPL

MUME ALIVYOMUUA MKEWE KWA NYUNDO!

Na Mohemed Shabani, Manyara DUNIA inazidi kufikia ukingoni! Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Paulo Mahinda, 40, (pichani), mkazi wa Kijiji cha Ndaleta wilayani Kiteto, Manyara anatafutwa na jeshi la polisi wilayani hapa kwa madai ya kumuua mke wake, Mariam Samuel (45) hivi karibuni kwa kumpiga na nyundo kwenye paji la uso, pia kumjeruhi mtoto wake wa mwaka mmoja.  Marehemu Mariam Samuel enzi za uhai wake. Taarifa za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani