MUME AMNYONGA MKEWE, KISA WIVU
![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKl1eoH5hTywXDuNBvVrQT5l5E-pWW77G5yI78YWC6RPzSxawu5ByYP1HRouN8vavPr2Y5xbla7HAonkqT*TdNKp/BACKUWAZI.jpg?width=650)
Stori: Waandishi Wetu INAUMA sana! Katika kinachoonekana kama ni wivu wa kimapenzi, dada mmoja aliyefahamika kwa jina la Magdalena Lucas ( 23) ameuawa kikatili na ‘mumewe’ aliyetajwa kwa jina la Stephano Lucas (28) nyumbani kwao maeneo ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam wiki iliyopita baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani na mwili wake kufungiwa chumbani kwa siku tatu. Magdalena Lucas enzi za uhai wake....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/klmPPeYfCPi6L2CK2xPMdTr5pbIxwDoSAts-nBBDU5k1H5-qxzFgy58FQHDAYjsFTXuQd3*LPghJrqbLC*VD0ZryVLLG1VRw/wivu.jpg)
KISA WIVU MUME AMFYEKA MGUU MKEWE!
11 years ago
Mwananchi16 May
Mume amkata mkewe sehemu za siri kwa wivu
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Kwa wivu,Mume amjeruhi mkewe kwa shoka
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXXDM9jruGHRY0wWMUvpIJCEY-mfIfRuML6NfxA-UvITAkxB8sg2x1DNNYIJnEVaOWrbY*QUkCYAxXV-7ttvM2CU/NYAMELA.jpg)
NYAMWELA ALALAMIKIA WIVU WA MKEWE
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi
10 years ago
Habarileo06 Jul
Aua mkewe mjamzito wa miezi 9 kwa wivu
MLINZI wa usiku katika Ofisi za Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Florence Kazonde (35) amejinyonga baada ya kumuua kikatili kwa kumkaba koo mkewe aliyekuwa na ujauzito wa miezi tisa, Emilia Mzui (30).
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Ajinyonga kisa? Wivu wa mapenzi
NA CHIBURA MAKORONGO,KAHAMA
MFANYAKAZI wa kampuni ya uchambuaji pamba ya Kahama Oil Mills Ltd, Yusuph Abdallah (55) amekutwa amekufa bafuni baada ya kujinyonga kutokana na wivu wa mapenzi.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mhongolo, Elias Chuma, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa tano asubuhi, baada ya mfanyakazi wa usafi wa nyumba ya kampuni aliyokuwa anakaa Abdallah, Pili Makoye, kumkuta Abdallah akiwa amejinyonga.
Kiongozi huyo alisema baada ya kuona hivyo, Pili alipiga owe ambapo watu...
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
Aunguzwa na uji kisa wivu wa mapenzi
MSICHANA Jackline Lasway maarufu kwa jina la Pendo, mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida, amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDr0YFJ3By0yJXc-odPmcItVp3J0RkmKTn5pUpI98gWlUWaE6sDjOBExCZpcvKCaJ6UmORultrqvH5J7Xu8uo14M/wivu.jpg)
AMCHOMA MUMEWE KISA WIVU WA MAPENZI