NYAMWELA ALALAMIKIA WIVU WA MKEWE
![](http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXXDM9jruGHRY0wWMUvpIJCEY-mfIfRuML6NfxA-UvITAkxB8sg2x1DNNYIJnEVaOWrbY*QUkCYAxXV-7ttvM2CU/NYAMELA.jpg)
STORI: Shakoor Jongo RAIS wa Chama cha Wacheza Shoo wa Muziki wa Dansi Tanzania, anayepiga mzigo na Bendi ya Extra Bongo, Hassan Musa ‘Nyamwela’ ameonesha kuulalamikia wivu alionao mkewe aitwaye Hawa baada ya kufunguka kuwa, kutokana na hali hiyo analazimika kuongozana naye kila sehemu. RAIS wa Chama cha Wacheza Shoo wa Muziki wa Dansi Tanzania, anayepiga mzigo na Bendi ya Extra Bongo, Hassan Musa ‘Nyamwela...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKl1eoH5hTywXDuNBvVrQT5l5E-pWW77G5yI78YWC6RPzSxawu5ByYP1HRouN8vavPr2Y5xbla7HAonkqT*TdNKp/BACKUWAZI.jpg?width=650)
MUME AMNYONGA MKEWE, KISA WIVU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/klmPPeYfCPi6L2CK2xPMdTr5pbIxwDoSAts-nBBDU5k1H5-qxzFgy58FQHDAYjsFTXuQd3*LPghJrqbLC*VD0ZryVLLG1VRw/wivu.jpg)
KISA WIVU MUME AMFYEKA MGUU MKEWE!
10 years ago
Habarileo06 Jul
Aua mkewe mjamzito wa miezi 9 kwa wivu
MLINZI wa usiku katika Ofisi za Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Florence Kazonde (35) amejinyonga baada ya kumuua kikatili kwa kumkaba koo mkewe aliyekuwa na ujauzito wa miezi tisa, Emilia Mzui (30).
11 years ago
Mwananchi16 May
Mume amkata mkewe sehemu za siri kwa wivu
10 years ago
Habarileo11 Feb
Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu
MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Kwa wivu,Mume amjeruhi mkewe kwa shoka
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qOD1tgPCn_0/VXmM82xS--I/AAAAAAAHerg/IbkjP2p5peE/s72-c/020da65dfdb1c75e670bc77d11f9df9b.jpg)
Twanga kuwatambulisha Choki, Nyamwela Da’ West
![](http://4.bp.blogspot.com/-qOD1tgPCn_0/VXmM82xS--I/AAAAAAAHerg/IbkjP2p5peE/s640/020da65dfdb1c75e670bc77d11f9df9b.jpg)
Onyesho hilo litafanyika usiku katika ukumbi wa Da West Park, Tabata.Mratibu wa onyesho hilo Joseph Kapinga wa Keen Arts na Bob Entertainment amesema kuwa onyesho hilo pia litakuwa ni la vunja jungu kabla ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kapinga alisema pia Choki atatumia onyesho hilo kutambulisha nyimbo...
10 years ago
Bongo509 Dec
Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!