KISA WIVU MUME AMFYEKA MGUU MKEWE!
![](http://api.ning.com:80/files/klmPPeYfCPi6L2CK2xPMdTr5pbIxwDoSAts-nBBDU5k1H5-qxzFgy58FQHDAYjsFTXuQd3*LPghJrqbLC*VD0ZryVLLG1VRw/wivu.jpg)
Stori:Gladness Mallya Maumivu ya kufa! Akiwa ananyonyesha kichanga wake, dakika chache mwanamama Neema Iwena hakujua kama angenusurika kufa baada ya kukatwa shingoni, kichwani kisha kufyekwa mguu wa kulia na mumuwe, Victor Nzali, kisa kikidaiwa ni wivu wa kimapenzi. Mwanamama Neema Iwena aliyekatwa mapanga na mumuwe, Victor Nzali. Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, tukio hilo la kutisha, kusikitisha na la ukatili wa kijinsia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKl1eoH5hTywXDuNBvVrQT5l5E-pWW77G5yI78YWC6RPzSxawu5ByYP1HRouN8vavPr2Y5xbla7HAonkqT*TdNKp/BACKUWAZI.jpg?width=650)
MUME AMNYONGA MKEWE, KISA WIVU
11 years ago
Mwananchi16 May
Mume amkata mkewe sehemu za siri kwa wivu
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Kwa wivu,Mume amjeruhi mkewe kwa shoka
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXXDM9jruGHRY0wWMUvpIJCEY-mfIfRuML6NfxA-UvITAkxB8sg2x1DNNYIJnEVaOWrbY*QUkCYAxXV-7ttvM2CU/NYAMELA.jpg)
NYAMWELA ALALAMIKIA WIVU WA MKEWE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRafRkZ3HYtMnq7QoJSC3dzCCCqudq4F0UyuL9Mk-Zh6y1To-7B0TEzNA10eFnSOc547R0PkkP5sqX89kNfbS0BG/mguu.jpg?width=650)
AOZA MGUU, KISA AJALI
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi
10 years ago
Habarileo06 Jul
Aua mkewe mjamzito wa miezi 9 kwa wivu
MLINZI wa usiku katika Ofisi za Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Florence Kazonde (35) amejinyonga baada ya kumuua kikatili kwa kumkaba koo mkewe aliyekuwa na ujauzito wa miezi tisa, Emilia Mzui (30).
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Ajinyonga kisa? Wivu wa mapenzi
NA CHIBURA MAKORONGO,KAHAMA
MFANYAKAZI wa kampuni ya uchambuaji pamba ya Kahama Oil Mills Ltd, Yusuph Abdallah (55) amekutwa amekufa bafuni baada ya kujinyonga kutokana na wivu wa mapenzi.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mhongolo, Elias Chuma, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa tano asubuhi, baada ya mfanyakazi wa usafi wa nyumba ya kampuni aliyokuwa anakaa Abdallah, Pili Makoye, kumkuta Abdallah akiwa amejinyonga.
Kiongozi huyo alisema baada ya kuona hivyo, Pili alipiga owe ambapo watu...
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
Aunguzwa na uji kisa wivu wa mapenzi
MSICHANA Jackline Lasway maarufu kwa jina la Pendo, mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida, amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa...