Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajinyonga kisa? Wivu wa mapenzi


NA CHIBURA MAKORONGO,KAHAMA 
MFANYAKAZI wa kampuni ya uchambuaji pamba ya Kahama Oil Mills Ltd, Yusuph Abdallah (55) amekutwa amekufa bafuni baada ya kujinyonga kutokana na wivu wa mapenzi. 
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mhongolo, Elias Chuma,  alisema tukio hilo lilitokea juzi  saa tano asubuhi, baada ya mfanyakazi wa usafi wa nyumba ya kampuni aliyokuwa anakaa Abdallah, Pili Makoye, kumkuta Abdallah akiwa amejinyonga.  
Kiongozi huyo alisema baada ya kuona hivyo, Pili alipiga owe ambapo watu...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ajinyonga kwa wivu wa mapenzi

Mkazi wa Kijiji cha Shilabela, mkoani Geita, ambaye amefahamika kwa jina moja la Daud (35) amekufa kwa kujinyonga chooni kutokana na kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.

 

11 years ago

GPL

AMCHOMA MUMEWE KISA WIVU WA MAPENZI

Stori: Haruni Sanchawa
MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Fatuma Said mkazi wa Kitunda, Ilala jijini Dar es Salaam anashikiliwa na Polisi baada ya kummwagia maji ya moto mumewe sehemu za siri na tumboni kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi, tukio lililotokea Julai 16 mwaka huu, huko Kitunda. Majeruhi Adam Rashid akiwa amelazwa katika Hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam kwa majeraha ya maji ya moto. ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aunguzwa na uji kisa wivu wa mapenzi

MSICHANA Jackline Lasway maarufu kwa jina la Pendo, mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida, amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa...

 

11 years ago

GPL

MKE ACHOMA NYUMBA KISA WIVU WA MAPENZI

Stori:DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO KATIKA hali ya kusikitisha, mwanamke mmoja mwenye ujauzito wa miezi 7 sasa, Vaileth Kibwana, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mjini hapa baada ya mwishoni mwa wiki iliyopita kuiteketeza nyumba yao kwa moto, katika kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi baina yake na mumewe. Mume wa mwanamke Vaileth Kibwana, anyeshikiliwa na jeshi la polisi kwa kuchoma moto nyumba yao  na kuteketeza mali...

 

11 years ago

GPL

MREMBO AZUA KASHESHE, KISA WIVU WA MAPENZI!

Mrembo akizua kasheshe baada ya kutolewa nje ya Ukumbi wa Mango Garden, Mwananyamala, Dar. Stori: Issa Mnally
AMA kweli pombe siyo chai. Timbwili la aina yake liliibuka ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Mwananyamala jijini Dar hivi karibuni baada ya dada mmoja kuanzisha kasheshe alipomkuta mpenzi wake akiwa amekaa kimahaba na demu mwingine.… ...

 

9 years ago

Habarileo

Mwalimu afa kwa kuchomwa kisu, kisa wivu wa mapenzi

WATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti mkoani Kilimanjaro, likiwamo la mwalimu wa shule ya sekondari Minja wilayani Mwanga, Tumaini Magila (27) kumuua mumewe Sweetbert Magila (48) kwa kumchoma kisu, kutokana na wivu wa kimapenzi.

 

10 years ago

Vijimambo

AMCHINJA MPENZI WAKE MPAKA KUFA KISA WIVU WA MAPENZI

Kijana anaetuhumiwa kumchinja mpenzi wake sababu ya wivu wa mapenzi akiwa amepandishwa katika gari la Polisi akipelekwa kituoni huku akitokwa na damu shingoni baada ya kujaribu kujiua kwa kutumia kisuMwili wa Msichana anaedaiwa kuchinjwa na mpenzi wake leo jioni maeneo ya Manzese Friends Corner ukitolewa katika eneo la tukio

 

11 years ago

GPL

AICHOMA NYUMBA YAKE KISA WIVU WA MAPENZI SEGEREA JIJINI DAR

Nyumba ya familia moja huko mtaa wa Ugombolwa Kata ya Segerea jijini Dar ikiwa inateketea kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya baba wa familia hiyo kuhisi kuwa mke wake ana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwingine na kuamua kuichoma moto nyumba hiyo sababu ya wivu wa mapenzi.…

 

11 years ago

Mwananchi

Ni wivu wa mapenzi au mfumodume?

Kama kuna matukio ambayo hayatasahaulika kirahisi miongoni mwa Watanzania wengi, ni matukio mawili yaliyohusishwa na wivu wa kimapenzi yaliyotokea Dar es Salaam mwaka 2013.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani