Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajinyonga kwa wivu wa mapenzi

Mkazi wa Kijiji cha Shilabela, mkoani Geita, ambaye amefahamika kwa jina moja la Daud (35) amekufa kwa kujinyonga chooni kutokana na kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ajinyonga kisa? Wivu wa mapenzi


NA CHIBURA MAKORONGO,KAHAMA 
MFANYAKAZI wa kampuni ya uchambuaji pamba ya Kahama Oil Mills Ltd, Yusuph Abdallah (55) amekutwa amekufa bafuni baada ya kujinyonga kutokana na wivu wa mapenzi. 
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mhongolo, Elias Chuma,  alisema tukio hilo lilitokea juzi  saa tano asubuhi, baada ya mfanyakazi wa usafi wa nyumba ya kampuni aliyokuwa anakaa Abdallah, Pili Makoye, kumkuta Abdallah akiwa amejinyonga.  
Kiongozi huyo alisema baada ya kuona hivyo, Pili alipiga owe ambapo watu...

 

10 years ago

Habarileo

Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Auawa kwa wivu wa mapenzi

MWANAKIJIJI cha Itenka Tarafa ya Nsimbo wilayani Mlele Katavi, Mary Magese (39) ameuwawa na mwili wake kutupwa katika kisima cha maji. Mauaji hayo yalifanyika Septemba 14 mwaka huu saa mbili...

 

10 years ago

Habarileo

Aua kwa wivu wa mapenzi

MTU mmoja, Juma Zengo Ulata (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada kumpiga nondo ya kichwa na kumsababishia kifo Issa Mihayo Shilia (40), mkazi wa Shinyanga Tanzania Bara baada ya kumtuhumu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mkewe huko Bambia wilaya ya Kati Unguja.

 

10 years ago

GPL

AMUUA MKE KWA WIVU WA MAPENZI

Shangwe Thani, Shinyanga
UKATILI! Mwanamke mmoja, Regina Salago (24) (pichani) ameuawa kinyama kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kuvunjwavunjwa shingo na mikono na mume wake, Kishimba Keya, kutokana na wivu wa kimapenzi. Regina Salago enzi za uhai wake. Tukio hilo la kinyama, limetokea hivi karibuni katika Kijiji cha Maganzo, Kata ya Songwa wilayani Kishapu, Shinyanga.Akizungumza na gazeti hili kuhusu tukio hilo, mama...

 

11 years ago

Habarileo

Wanawake 2 wauawa kwa wivu wa mapenzi

Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Ahmed MsangiWATU watatu wamekufa mkoani Mbeya katika matukio tofauti yakiwemo ya wanawake wawili kuuawa na waume zao kutokana na wivu wa kimapenzi wilayani Chunya.

 

11 years ago

Mwananchi

Amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi

Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwamo la mwanamke mmoja kudaiwa kuuawa na mume wake kutokana na wivu wa mapenzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aua jirani kwa wivu wa mapenzi

WANANCHI wa Kata ya Gisambalang’, Wilaya ya Hanang’, mkoani Manyara bado wanaendelea kugubikwa na wimbi la simanzi na majonzi kutokana na matukio ya mauaji mfululizo yanayotokea katika kata hiyo. Katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mume aua mke kwa wivu wa mapenzi

NEEMA Sanga (33), mkazi wa Mngeta wilayani Kilombero mkoani hapa, ameuwawa nyumbani kwake kwa kucharangwa mapanga na anayedaiwa kuwa mumewe, Laurian Labani, kwa wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani