AMUUA MKE KWA WIVU WA MAPENZI
![](http://api.ning.com:80/files/KBI*TiKs6pKJO9s8NOU1MYviywrnTbE3U4*a*ruGMZDBvd1fBNu3fmRMYieyhIRVoC1epnyCzUQ-06p0-0UDNLAGjYYpBENd/wivu.gif)
Shangwe Thani, Shinyanga UKATILI! Mwanamke mmoja, Regina Salago (24) (pichani) ameuawa kinyama kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kuvunjwavunjwa shingo na mikono na mume wake, Kishimba Keya, kutokana na wivu wa kimapenzi. Regina Salago enzi za uhai wake. Tukio hilo la kinyama, limetokea hivi karibuni katika Kijiji cha Maganzo, Kata ya Songwa wilayani Kishapu, Shinyanga.Akizungumza na gazeti hili kuhusu tukio hilo, mama...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
Mume aua mke kwa wivu wa mapenzi
NEEMA Sanga (33), mkazi wa Mngeta wilayani Kilombero mkoani hapa, ameuwawa nyumbani kwake kwa kucharangwa mapanga na anayedaiwa kuwa mumewe, Laurian Labani, kwa wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm0D2VVh-yFfs86GxAQgA42mBCYhw4e8dteMTO-AmHYqp6NX30b0JoXx5j9T5Em1ZZZdpaan-PkfZdpm--Q*9ufr/WIVU2.jpg?width=650)
MKE ACHOMA NYUMBA KISA WIVU WA MAPENZI
10 years ago
Mwananchi22 Feb
WIVU WA MAPENZI: Mke amkata mume sehemu za siri
10 years ago
Habarileo23 Dec
Aua kwa wivu wa mapenzi
MTU mmoja, Juma Zengo Ulata (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada kumpiga nondo ya kichwa na kumsababishia kifo Issa Mihayo Shilia (40), mkazi wa Shinyanga Tanzania Bara baada ya kumtuhumu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mkewe huko Bambia wilaya ya Kati Unguja.
11 years ago
Mwananchi20 May
Ajinyonga kwa wivu wa mapenzi
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Auawa kwa wivu wa mapenzi
MWANAKIJIJI cha Itenka Tarafa ya Nsimbo wilayani Mlele Katavi, Mary Magese (39) ameuwawa na mwili wake kutupwa katika kisima cha maji. Mauaji hayo yalifanyika Septemba 14 mwaka huu saa mbili...
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Aua jirani kwa wivu wa mapenzi
WANANCHI wa Kata ya Gisambalang’, Wilaya ya Hanang’, mkoani Manyara bado wanaendelea kugubikwa na wimbi la simanzi na majonzi kutokana na matukio ya mauaji mfululizo yanayotokea katika kata hiyo. Katika...
11 years ago
Habarileo09 Feb
Wanawake 2 wauawa kwa wivu wa mapenzi
WATU watatu wamekufa mkoani Mbeya katika matukio tofauti yakiwemo ya wanawake wawili kuuawa na waume zao kutokana na wivu wa kimapenzi wilayani Chunya.