Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIVU WA MAPENZI: Mke amkata mume sehemu za siri

>Mkazi wa Kijiji cha Majimaji, Kata ya Chalinze, wilayani Tunduru (jina linahifadhiwa), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumkata sehemu za siri mume wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mume amkata mkewe sehemu za siri kwa wivu

Mkazi wa Mtaa wa King’azi, Mbezi Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam (jina tunalihifadhi), amejeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwamo kukatwa sehemu za siri na mumewe kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mume aua mke kwa wivu wa mapenzi

NEEMA Sanga (33), mkazi wa Mngeta wilayani Kilombero mkoani hapa, ameuwawa nyumbani kwake kwa kucharangwa mapanga na anayedaiwa kuwa mumewe, Laurian Labani, kwa wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mume amchoma mke sehemu za siri

Agnes Marwa (18), mkazi wa Mrito, Kata ya Kemambo, Wilaya ya Tarime, mkoani Mara, ameunguzwa sehemu za siri kwa moto baada ya mume wake kudaiwa kumkuta na Sh2,000 kwenye pochi.

 

10 years ago

Mtanzania

Amkata mpwa wake sehemu za siri

NA AMON MTEGA, SONGEA

MKAZI wa Kijiji cha Majimaji kilichopo Tunduru mkoani Ruvuma, Patrick Vitus (70), amekatwa sehemu zake za siri na kuachwa zikining’inia.

Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi kwa njia ya simu jana, Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho, Hussein Mkali, alisema Patrick alikatwa sehemu zake hizo na mpwa wake Zainabu Said (32), baada ya kumkatalia kwenda kumfuata mumewe aliyekuwa kwa mke mdogo.

Alisema tukio hilo lilitokea juzi saa tisa usiku katika maeneo ya mashamba ya kijiji hicho...

 

11 years ago

Mwananchi

Mganga amkata mtoto sehemu za siri na kuzibanika

>Polisi wanamshikilia mganga wa jadi kutoka Kijiji cha Matera, Kata ya Nyanguge, Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza kwa tuhuma za kumnyonga mwanafunzi wa darasa la kwanza, Fausta Geofrey (8) na kukata viungo vyake na kuvibanika ili kupata dawa ya uganga.

 

10 years ago

GPL

AMUUA MKE KWA WIVU WA MAPENZI

Shangwe Thani, Shinyanga
UKATILI! Mwanamke mmoja, Regina Salago (24) (pichani) ameuawa kinyama kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kuvunjwavunjwa shingo na mikono na mume wake, Kishimba Keya, kutokana na wivu wa kimapenzi. Regina Salago enzi za uhai wake. Tukio hilo la kinyama, limetokea hivi karibuni katika Kijiji cha Maganzo, Kata ya Songwa wilayani Kishapu, Shinyanga.Akizungumza na gazeti hili kuhusu tukio hilo, mama...

 

11 years ago

GPL

MKE ACHOMA NYUMBA KISA WIVU WA MAPENZI

Stori:DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO KATIKA hali ya kusikitisha, mwanamke mmoja mwenye ujauzito wa miezi 7 sasa, Vaileth Kibwana, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mjini hapa baada ya mwishoni mwa wiki iliyopita kuiteketeza nyumba yao kwa moto, katika kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi baina yake na mumewe. Mume wa mwanamke Vaileth Kibwana, anyeshikiliwa na jeshi la polisi kwa kuchoma moto nyumba yao  na kuteketeza mali...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mume amuua mke akihofia siri kufichuliwa

Mwanamume mmoja aliyekuwa mfanyakazi wa benki nchini Uingereza, amefungwa maisha jela kwa kumuua mkewe akihofia kashfa ya mapenzi ya jinsia moja

 

10 years ago

Bongo Movies

Sio Siri tena: Nay wa Mitego, Shamsa Mke na Mume!

Mara baada ya kuelezwa kwamba wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku wenyewe wakidanganya wana ‘projekti’, hatimaye majirani wamefichua kuwa mwigizaji Shamsa Ford na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay’, sasa wanaishi kama mke na mume.

Baada ya kutonywa ‘mchapo’ huo, gazeti la Risasi  liliwadamkia nyumbani kwa Nay maeneo ya Kimara-Korogwe jijini Dar na kumkuta Shamsa akiwa na kanga moja.Mwanahabari wetu, baada ya kufika nyumbani hapo mishale ya asubuhi alikuwa bega kwa bega kuwafuatilia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani