Wakulima Bunda waaswa kuhifadhi mazao kwa kutumia teknolojia ya kisasa.
Na Ahmed Makongo,
Bunda.
Wakulima wa mazao ya nafaka wilayani Bunda mkoani Mara wameshauriwa kutumia teknolojia ya kisasa ya mifuko ya Pics kuhifadhi vyakula ili visiharibike.
Katika uzinduzi wa teknolojia hiyo uliofanyika kijiji cha guta afisa kilimo wa Wilaya ya Bunda Serapion Rujuguru amlisema itawasaidia wakulima kukabiliana na njaa pamoja na kuuza vyakula hivyo kwa bei nzuri.
where to get student loans with no credit
Rujuguru alisema kuwa wakulima wengi wamekuwa wakipoteza...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWatanzania waaswa kutumia teknolojia mpya na za kisasa kuzalisha mazao na sekta nzima ya kilimo
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Serikali kutumia Teknolojia ya Jeni katika kuendeleza mazao
Naibu Waziri, wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Pindi Chana (Mb) akijibu swali leo Bungeni Dodoma, kwa niaba ya Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika kuhusu mpango wa Serikali kutumia teknolojia ya jeni katika kuboresha mbegu za mazao.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe. Hawa Ghasia (Mb), akijibu swali katika kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni Dododma.
Naibu Waziri, Wizara ya Ushirikiano wa Afika Mashariki, Mhe. Dkt. Abdullah...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MHAGAMA ATAKA MAFUNZO YA KILIMO CHA KISASA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KITALU NYUMBA KUIMARISHWA USIMAMIZI NA UENDESHAJI
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Makala ya kuongeza uzalishaji mazao ya Nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa na kuondokana na mizinga ya asili katika mkoa wa Singida
Na Jumbe Ismailly, Singida
HALMASHAURI ya wilaya ya Singida ina ukubwa wa kilomita za mraba 3,787 ambazo wananchi wake hujishughulisha na kilimo na ufugaji.
Mazao ya chakula na biashara yanayolimwa na wananchi hao ni pamoja na mtama,uwele,alzeti,vitunguu na dengu na zao la kipaumbele ni asali kwa ajili ya chakula na biashara.
Halmashauri ya wilaya ya Singida ina maeneo mapana ya ufugaji nyuki ikiwemo misitu ya watu binafsi na misitu ya ardhi ya Kijiji ukiwemo msitu wa Hifadhi wa...
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Wakulima wajifunze kutumia fursa za viwanda vinavyosindika mazao nchini
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Wakulima nchini waaswa kutumia kilimo cha mseto
5 years ago
Michuzi
MASAWE -WAKULIMA WAJIKITE KATIKA KILIMO CHA TEKNOLOJIA YA KISASA KUINUA KIPATO CHAO
WAKULIMA nchini wametakiwa watumie soko la Afrika Mashariki kwa kulima kilimo chenye tija na kutumia teknolojia mpya za kisasa huku wakiaswa kuachana na kilimo cha mazoea cha kujikimu ambacho hakiwaletei faida.
Hayo yalisemwa mjini Kibaha na mkurugenzi wa shamba darasa lililopo wilaya Kibaha mkoani Pwani Ephrahim Masawe na kuongeza kuwa soko hilo ndilo litakaloinua uchumi wao kwani linafaida kubwa.
Jambo kubwa ni kutumia mbegu bora na kutumia teknolojia mpya ikiwemo...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Juakihuma yatumia mil. 60/- kuhifadhi mazao
JUMUIYA ya Wakulima wa Kilimo Hai wa Usambara Mashariki (Juakihuma) wilayani Muheza na Korogwe, Tanga imetumia zaidi ya sh milioni 60 kwa ujenzi wa ghala la kuhifadhia mazao ya wakulima...
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Wakulima wapongezwa kwa kupanua kilimo cha mazao ya chakula
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa chanjo kimkoa,iliyofanyika katika kijiji cha Mtinko jimbo la Singida kaskazini.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa Mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone amewapongeza wakulima kwa kuongeza juhudi ya kupanua kilimo cha mazao ya chakula na biashara msimu huu ikilinganishwa na misimu iliyopita.
Dk.Kone ametoa pongezi hizo wakati akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa chanjo kimkoa,iliyofanyika katika...