Watanzania waaswa kutumia teknolojia mpya na za kisasa kuzalisha mazao na sekta nzima ya kilimo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Mhe. Dkt Injinia Binilith Satano Mahenge akifungua rasmi Kongamano la ukuaji wa uchumi unaohimili mabadiliko ya Tabia Nchi kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mohammed Gharib Bilal,itakayofanyika kwa muda wa siku mbili katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Mhe. Dkt Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kushoto), akizungumza na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV17 Jan
Wakulima Bunda waaswa kuhifadhi mazao kwa kutumia teknolojia ya kisasa.
Na Ahmed Makongo,
Bunda.
Wakulima wa mazao ya nafaka wilayani Bunda mkoani Mara wameshauriwa kutumia teknolojia ya kisasa ya mifuko ya Pics kuhifadhi vyakula ili visiharibike.
Katika uzinduzi wa teknolojia hiyo uliofanyika kijiji cha guta afisa kilimo wa Wilaya ya Bunda Serapion Rujuguru amlisema itawasaidia wakulima kukabiliana na njaa pamoja na kuuza vyakula hivyo kwa bei nzuri.
where to get student loans with no credit
Rujuguru alisema kuwa wakulima wengi wamekuwa wakipoteza...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_3ehNVYIol8/Xmj7csL9zbI/AAAAAAAC8Rc/-unosEn8oYIsqi9sW8YT0ToiXVD-_X32wCLcBGAsYHQ/s72-c/R1.jpg)
WAZIRI MHAGAMA ATAKA MAFUNZO YA KILIMO CHA KISASA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KITALU NYUMBA KUIMARISHWA USIMAMIZI NA UENDESHAJI
11 years ago
Mwananchi29 Jan
Kikwete ataka kilimo kutumia teknolojia mpya
5 years ago
Michuzi24 Apr
WIZARA YA KILIMO KUSHIRIKIANA NA SUA KUZALISHA MBEGU BORA ZA MAZAO
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/15cf33f3-3818-4b4d-8d3e-833ea75fd766.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiongea wakati akikagua shamba darasa la zao la chai alipotembelea Chuo Kikuu cha Sokoine leo mjini Morogoro.Kulia kwake ni Dkt.Kudra Abdul Mkuu wa Idara ya Mimea Vipande na Kilimo cha Bustani.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/DSC_1316-1.jpg)
atibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiwa ameshika mche wa nanasi wakati alipokagua shamba darasa la kufundishia wanafunzi chuo Kikuu cha Sokoine leo mjini Morogoro.Kushoto ni Bw.Ramadhani Omari Mhadhiri wa mafunzo ya bustani na wa kwanza kulia ni...
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Njia rahisi ya kutumia taka za mazao ili kuzalisha uyoga
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Serikali kutumia Teknolojia ya Jeni katika kuendeleza mazao
Naibu Waziri, wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Pindi Chana (Mb) akijibu swali leo Bungeni Dodoma, kwa niaba ya Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika kuhusu mpango wa Serikali kutumia teknolojia ya jeni katika kuboresha mbegu za mazao.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe. Hawa Ghasia (Mb), akijibu swali katika kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni Dododma.
Naibu Waziri, Wizara ya Ushirikiano wa Afika Mashariki, Mhe. Dkt. Abdullah...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ga9ftz9iuSE/Xru1fTRrV6I/AAAAAAALqAs/RRIlPEEHk2Q_4oDV33qaOjyza5oLr2R5ACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
COSTECH,TALIRI KUZALISHA NG'OMBE KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-ga9ftz9iuSE/Xru1fTRrV6I/AAAAAAALqAs/RRIlPEEHk2Q_4oDV33qaOjyza5oLr2R5ACLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-uqAZTmpUQok/Xru1fde2LVI/AAAAAAALqAo/KpExfmeBJx8VU2xBjdWDBLEfxeJ01zPrQCLcBGAsYHQ/s640/2%2B%25281%2529.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-Vf2EITWjFVI/Xru1glJtYUI/AAAAAAALqAw/5JDlWQcU11gvMWeb9NT19zrRnd2aQi3YACLcBGAsYHQ/s640/3.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-zYqJ8VaZ7oc/Xru11rJEFsI/AAAAAAALqA8/iFgkfmA59nEVpMarUuPsadOWy9IH330dQCLcBGAsYHQ/s640/4.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-F4bui1LZsTU/Xru16pjwZPI/AAAAAAALqBA/3rBpTxoHL_gpZYdx0WyqXyNfilgm-yU5QCLcBGAsYHQ/s640/5.jpg)
TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)...
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Teknolojia ya kisasa itaondoa changamoto za sekta ya ujenzi nchini
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Wakulima nchini waaswa kutumia kilimo cha mseto