COSTECH,TALIRI KUZALISHA NG'OMBE KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA
Picha ikionesha sanamu ya Ng'ombe anayezalishwa na Taasisi ya Mifugo TALIRI-Mpwapwa. Mtafiti kiongozi Kabuni Thomas Kabuni- akionesha waandishi wa habari namna wanavyovuna mbegu kutoka kwa Ng'ombe Jike.
Mkuu wa Taasisi ya Mifugo TALIRI-Mpwapwa Dkt Eliakunda Kimbi akionesha picha ya tafiti zinazofanyika kituoni kwake.Mtafiti kiongozi Kabuni Thomas Kabuni- akieleza waandishi wa habari hatua wanazozipitia katika kuzalisha viini tete.Na COSTECH
TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)...
Michuzi