Wakulima wapongezwa kwa kupanua kilimo cha mazao ya chakula
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa chanjo kimkoa,iliyofanyika katika kijiji cha Mtinko jimbo la Singida kaskazini.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa Mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone amewapongeza wakulima kwa kuongeza juhudi ya kupanua kilimo cha mazao ya chakula na biashara msimu huu ikilinganishwa na misimu iliyopita.
Dk.Kone ametoa pongezi hizo wakati akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa chanjo kimkoa,iliyofanyika katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA AZINDUA MFUMO WA KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA WANUNUZI WA MAZAO (MOBILE KILIMO)
11 years ago
Dewji Blog08 Aug
Wakulima Dodoma, wasifu Ufanisi wa TPA katika kuwezesha Usafirishaji wa Mazao na Uagizaji wa Pembejeo za Kilimo
Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akipata maelezo katika Banda la TPA lililopo viwanja vya nanenane Nzuguni, Dodoma kutoka kwa Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (kulia). Katikati ni Afisa Mkuu wa TPA, Bi. Lydia Mallya.
Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (wapili kushoto) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda...
10 years ago
MichuziTEKNOLOJIA YA UMWAGILIAJI KWA NJIA YA MATONE ITAKUZA KILIMO CHA MATUNDA NA MBOGA KWA WAKULIMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp21IcrocZyt1r56q6qS5gFW4Z8z3AhKUN9biGlqlCrG-0K8R8wWvYq7AXQ01MgZk-5qdJr8d*YdcEm4*EODHdGLX/wakulimaDOM4.jpg)
WAKULIMA DODOMA, WASIFU UFANISI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) KATIKA KUWEZESHA USAFIRISHAJI WA MAZAO NA UAGIZAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO.
11 years ago
Michuzi18 Jun
10 years ago
MichuziWAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) KANDA YA DODOMA INAKABILIWA NA UFINYU WA ENEO LA KUHIFADHIA MAZAO MSIMU HUU WA UNUNUZI WA MAZAO
Vilevile Dr. Nchimbi ameelekeza ukarabati wa Maghala ya hifadhi ya “National Milling” yaliyopo eneo la Makole ambayo uwezo wake ni kuhifadhi takribani tani elfu 10 kwa ghala uwekewe mkakati ili kusaidia kuleta suluhisho la...
5 years ago
MichuziUHITAJI MKUBWA WA MAZAO YA MBOGAMBOGA JIJINI MBEYA UMECHANGIA KASI YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Katika picha, mkulima wa zao la mahindi Bi. Joyce Nassoro akionyesha shamba lake la mahindi yatokanayo na kilimo cha umwagiliaji katika bonde la Uyole Jijini Mbeya , halipo katika picha, ambapo mkulima huyo ameeleza kuwa ameweza kulima mahindi hayo kwa muda mfupi ambapo kwa sasa anayavuna kwa matumizi ya chakula cha nyumbani kwake.
Bibi Rose Samwande katika picha mkulima wa mbogamboga aina ya karoti katika Bonde la Uyole jijini Mbeya akionesha karoti ambazo zipo tayari kuvunwa kwa ajili...
5 years ago
MichuziWAZIRI DK.MPANGO ASEMA SERIKALI INAPENDEKEZA KUSAMEHE KODI YA ONGEZEKO LA THAMAN I(VAT) KATIKA BIMA YA KILIMO CHA MAZAO
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango amesema kuwa Katika Bajeti ya Fedha ya mwaka 2020/2021,Serikali inapendekeza kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye bima ya kilimo cha mazao.
Dk.Mpango amesema hayo leo Bungeni Mjini Dodoma wakati anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali yenye jumla ya Sh.Trilioni 34.88 ambapo katika eneo hilo la kusamehe kodi amefafanua lengo ni kupunguza gharama na kutoa unafuu katika bima za kilimo kwa ajili ya kuwawezesha...
10 years ago
StarTV02 Dec
Wakulima Zanzibar furahia kilimo cha Alizeti.
Na Abdalla Pandu, Zanzibar.
Wakulima visiwani Zanzibar wameonesha furaha yao baada ya kufanikiwa katika kilimo kipya cha Alizeti ambacho kinaaminika kitakuwa mkombozi kwao na Taifa kwa ujumla kutokana na muda mrefu kutegemea zaidi zao la Karafuu na Nazi kama mazao makuu ya biashara.
Zao la Alizeti kwa Zanzibar limeonekana likinawiri kwa kiwango kikubwa hatua inayowajengea matumaini ya kuinua kipato cha wakulima hali ambayo itawawezesha kukabiliana na umasikini.
Licha ya faraja...