UHITAJI MKUBWA WA MAZAO YA MBOGAMBOGA JIJINI MBEYA UMECHANGIA KASI YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Katika picha, mkulima wa zao la mahindi Bi. Joyce Nassoro akionyesha shamba lake la mahindi yatokanayo na kilimo cha umwagiliaji katika bonde la Uyole Jijini Mbeya , halipo katika picha, ambapo mkulima huyo ameeleza kuwa ameweza kulima mahindi hayo kwa muda mfupi ambapo kwa sasa anayavuna kwa matumizi ya chakula cha nyumbani kwake.
Bibi Rose Samwande katika picha mkulima wa mbogamboga aina ya karoti katika Bonde la Uyole jijini Mbeya akionesha karoti ambazo zipo tayari kuvunwa kwa ajili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKIKAO CHA KWANZA CHA BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO
9 years ago
StarTV17 Dec
Taifa lapata dola za kimarekani mil. 500 kwa mwaka kilimo cha Mbogamboga, Matunda, Maua
Sekta ya kilimo cha mbogamboga matunda na maua nchini kimekuwa na mchango mkubwa katika ukuzaji maendeleo kwa kuliingizia taifa kiasi cha dola za kimarekani milioni mia tano kwa mwaka.
Ukuaji wa sekta hiyo umekuwa ni chachu ya kuvutia wawekezaji katika sekta nyingine za maendeleo hapa nchini.
Katika uzinduzi wa jarida litakalohusika kusambaza habari zihusuzo kilimo cha mbogamboga, maua na matunda uzinduzi uliofanyika jijini Arusha kwa kuwakutanisha wadau wa kilimo kutoka ndani na nje ya...
11 years ago
Habarileo20 Apr
Serikali kuboresha kilimo cha umwagiliaji
WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imesema malengo ya Serikali ni kukifanya kilimo cha umwagiliaji kuleta mapinduzi ya kijani.
11 years ago
Habarileo27 Jul
Kilombero wajipanga kwenye kilimo cha umwagiliaji
SERIKALI Wilayani Kilombero, mkoa wa Morogoro, kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya kilimo imeongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
Miradi mingi yakwamisha kilimo cha umwagiliaji
SERIKALI imesema kuanzishwa kwa miradi mingi na Halmashauri kumesababisha kutokamilika kwa miradi ya kilimo cha umwagiliaji. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfery Zambi,...
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Maji taka yaboreshwa, yatumika kilimo cha umwagiliaji
“NCHI za wenzetu kutumia maji safi kwa ajili ya kumwagilia maua au migomba na vitu vingine ni kosa, hivyo lazima wajiunge kwenye mtandao wa maji taka kwa ajili ya kurejeleza...
11 years ago
MichuziBenki ya wanawake, SUMA JKT kuanzisha kilimo cha kisasa ya umwagiliaji
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wanawake, Bi.Margareth Chacha, amewaambia waandishi wa habari hivi karibuni kuwa ubia huo pia utawanufaisha sana wakulima wadogo wadogo ambao wanayazunguka maeneo ya JKT kwani mazao yao watayauza kwa JKT.
“Makubaliano haya ni hatua...
10 years ago
Vijimambo18 Dec
ZIARA YA KIKAZI YA WANAHABARI KATIKA UJENZI WA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA IDETE MKOANI MOROGORO
9 years ago
Dewji Blog01 Jan
Shirika la Helvetas Swiss Intercooperation Tanzania lashauri uvunaji wa maji ya mvua kusaidia kilimo cha umwagiliaji Mkoani Singida
Afisa tathimini wa shirika lisilo la kiserikali la Helvetas Tanzania, Shoma Nangale, akichangia ajenda zilizokuwa zinatolewa kwenye kikao cha kamati ya maendeleo (RCC) mkoa wa Singida kilichofanyika juzi mjini hapa.Shoma ametoa wito kwa halmashauri za wilaya na manispaa, kuweka mikakati ya kuvuna maji ya mvua kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji cha mboga mboga.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
Halmashauri za wilaya na manispaa mkoani Singida zimehimizwa kuweka mikakati...