Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maji taka yaboreshwa, yatumika kilimo cha umwagiliaji

“NCHI za wenzetu kutumia maji safi kwa ajili ya kumwagilia maua au migomba na vitu vingine ni kosa, hivyo lazima wajiunge kwenye mtandao wa maji taka kwa ajili ya kurejeleza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la Helvetas Swiss Intercooperation Tanzania lashauri uvunaji wa maji ya mvua kusaidia kilimo cha umwagiliaji Mkoani Singida

IMG_1760 (1)

Afisa tathimini wa shirika lisilo la kiserikali la Helvetas Tanzania, Shoma Nangale, akichangia ajenda zilizokuwa zinatolewa kwenye kikao cha kamati ya maendeleo (RCC) mkoa wa Singida kilichofanyika juzi mjini hapa.Shoma ametoa wito kwa halmashauri za wilaya na manispaa, kuweka mikakati ya kuvuna maji ya mvua kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji cha mboga mboga.(Picha  na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

Halmashauri za wilaya na manispaa mkoani Singida zimehimizwa kuweka mikakati...

 

10 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA KWANZA CHA BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu (aliyesimama) akitoa utambulisho kwa wajumbe wapya wa Bodi kabla ya Ufunguzi wa Kikao cha kwanza cha Bodi ya Mradi wa Ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji unaotarajiwa kuanza rasmi kutekelezwa katika eneo la Magereza, Gereza Kigongoni Bagamoyo .Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu akitoa maelezo mafupi kabla ya Ufunguzi wa Kikao cha kwanza cha Bodi ya Mradi wa Ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji unaotarajiwa kuanza...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuboresha kilimo cha umwagiliaji

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imesema malengo ya Serikali ni kukifanya kilimo cha umwagiliaji kuleta mapinduzi ya kijani.

 

11 years ago

Habarileo

Kilombero wajipanga kwenye kilimo cha umwagiliaji

SERIKALI Wilayani Kilombero, mkoa wa Morogoro, kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya kilimo imeongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Miradi mingi yakwamisha kilimo cha umwagiliaji

SERIKALI imesema kuanzishwa kwa miradi mingi na Halmashauri kumesababisha kutokamilika kwa miradi ya kilimo cha umwagiliaji. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfery Zambi,...

 

11 years ago

Michuzi

Benki ya wanawake, SUMA JKT kuanzisha kilimo cha kisasa ya umwagiliaji

BENKI ya Wanawake TanzaniaT (TWB) kwa kushirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa kupitia  SUMA JKT), wamesaini makubaliano ya kufanya mageuzi makubwa ya kilimo cha biashara cha umwagiliaji kwenye ardhi inayomilikiwa na jeshi hilo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wanawake, Bi.Margareth Chacha, amewaambia waandishi wa habari hivi karibuni kuwa ubia huo pia utawanufaisha sana wakulima wadogo wadogo ambao wanayazunguka maeneo ya JKT kwani mazao yao watayauza kwa JKT.
“Makubaliano haya ni hatua...

 

5 years ago

Michuzi

UHITAJI MKUBWA WA MAZAO YA MBOGAMBOGA JIJINI MBEYA UMECHANGIA KASI YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI


Katika picha, mkulima wa zao la mahindi Bi. Joyce Nassoro akionyesha shamba lake la mahindi yatokanayo na kilimo cha umwagiliaji katika bonde la Uyole Jijini Mbeya , halipo katika picha, ambapo mkulima huyo ameeleza kuwa ameweza kulima mahindi hayo kwa muda mfupi ambapo kwa sasa anayavuna kwa matumizi ya chakula cha nyumbani kwake.
Bibi Rose Samwande katika picha mkulima wa mbogamboga aina ya karoti katika Bonde la Uyole jijini Mbeya akionesha karoti ambazo zipo tayari kuvunwa kwa ajili...

 

11 years ago

Dewji Blog

Dkt Bilal azindua mtambo wa maji taka wa kiwanda cha Serengeti cha Mwanza

IMG_0080

 Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimia wananchi wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeti cha mjini Mwanza.(Picha na OMR).

IMG_0058

Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib  Bilal akifungua kipazia kuzindua Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeti cha Mjijini mwanza kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya kiwanda cha Serengeti.

IMG_0052

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akikatautepe kuzindua mtambo wa...

 

11 years ago

Michuzi

DKT BILAL AZINDUA MTAMBO WA MAJI TAKA WA KIWANDA CHA SERENGETI CHA MWANZA LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akikatautepe kuzindua mtambo wa Maji taka ya kiwanda cha Serengeti cha Mjini Mwanza kulia Mwenyekiti wa Bodi Nehemiah Mchechu kushoto Mkurugenzi Mtendaji Bw Steve Gannon.  Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimia wananchi wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeticha mjini Mwanza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani