Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Juakihuma yatumia mil. 60/- kuhifadhi mazao

JUMUIYA  ya Wakulima wa Kilimo Hai wa Usambara Mashariki (Juakihuma) wilayani Muheza na Korogwe, Tanga imetumia  zaidi ya sh milioni 60  kwa ujenzi wa ghala la kuhifadhia mazao ya wakulima...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Wakulima Bunda waaswa kuhifadhi mazao kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Na Ahmed Makongo,

Bunda.

 

Wakulima wa mazao ya nafaka wilayani Bunda mkoani Mara wameshauriwa kutumia teknolojia ya kisasa ya mifuko ya Pics kuhifadhi vyakula ili visiharibike.

 

Katika uzinduzi wa teknolojia hiyo uliofanyika kijiji cha guta afisa kilimo wa Wilaya ya Bunda Serapion Rujuguru amlisema itawasaidia wakulima kukabiliana na njaa pamoja na kuuza vyakula hivyo kwa bei nzuri.

 

where to get student loans with no credit

Rujuguru alisema kuwa wakulima wengi wamekuwa wakipoteza...

 

11 years ago

Habarileo

Tanroads yatumia mil.800/- Mianzini

WAKALA wa Barabara (Tanroads) Mkoani Arusha imetumia Sh milioni 800 kwa ajili ya kukarabati miundombinu, ambayo imekuwa ikiharibiwa na wananchi katika eneo la taa za kuongozea magari la Mianzini na Sanawari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SEMA yatumia mil. 25/- kusaidia wakulima

SHIRIKA la Mpango  Endelevu wa Uboreshaji Mazingira (SEMA), limetumia zaidi ya sh milioni 25 kununua vifaa vyenye ujumbe utakaowasaidia wakulima kubadilika ili kuendana na mabadiliko ya tabia nchi. Hayo yamesemwa...

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIE YATUMIA MIL. 7 MSIBA WA KUAMBIANA

Stori: Hamida Hassan
Memba wa Klabu ya Bongo Movie Unity wamepambana vilivyo na kufanikiwa kuchangishana Sh. milioni 7 zilizofanikisha shughuli za msiba wa aliyekuwa mwigizaji, prodyuza na mwandishi wa skripti za sinema za Kibongo, Adam Philip Kuambiana. Raisi wa Bongo Muvi Steve Nyerere akisoma wasifu wa msanii mwenzao aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa Bongo Muvi, Adam Phillip Kuambiana. Chanzo makini kutoka ndani ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara yatumia mil.48/- kulipia ada wanachuo

WIZARA ya Nishati na Madini imetoa sh milioni 48.42 kwa ajili ya kuwalipia ada wanafunzi 40 kutoka mikoa ya Mtwara na Lindi, wanasoma kwenye Chuo Kikuu cha Stella Maris. Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yatumia Sh500 mil kwa nyota wanane

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wametumia zaidi ya Sh500 milioni kununua wachezaji nyota wanane katika kipindi cha miaka tatu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBL yatumia mil. 80/- wiki ya nenda kwa usalama barabarani

 KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imetumia sh milioni 80 kufanikisha shughuli mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani nchini. Hayo yalisemwa na Ofisa Uhusiano wa TBL,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu mazao ya Sh5 mil

>Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo, Manispaa ya Dodoma wanaouza mazao ya nafaka, wamepata hasara ya Sh5 milioni baada ya mazao yao kuharibiwa na mvua.

 

9 years ago

Dewji Blog

Halmashauri ya Manyoni yatumia zaidi ya Mil.99 kuwalipa mishahara Watendaji wa Vijiji wasiokuwa na vituo vya kazi

SAM_0400

Afisa utumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Manyoni, Bi Pinina (wa kwanza kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya watumishi wa Halmashauri hiyo waliohudhuria kwenye uzinduzi wa mkutano wa baraza la madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi.

SAM_0396

Diwani wa kata ya Mgandu, Bwana Martini Kapona (aliyevaa shada la maua) mara tu baada ya kula kiapo cha utii cha kuwatumikia wananchi wate waliomchagua na wasiomchagua.

SAM_0399

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Manyoni, Bw.Supeet Roine Mseya (wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani