Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yatumia Sh500 mil kwa nyota wanane

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wametumia zaidi ya Sh500 milioni kununua wachezaji nyota wanane katika kipindi cha miaka tatu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mikataba kuikamua Yanga Sh500 mil

Klabu ya Yanga ipo hatarini kupoteza mamilioni ya fedha kama fidia kutokana na kutothamini, kutoheshimu mikataba baina yake na wadau mbalimbali wa soka ndani na nje ya nchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam yasaka ubingwa kwa Sh500 mil

‘Maisha yanakwenda kasi’, huo ndio ukweli baada ya mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Azam kutumia Sh565 milioni kusajili nyota sita akiwamo mchezaji ghali zaidi msimu huu, Leonel Saint-Preux.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBL yatumia mil. 80/- wiki ya nenda kwa usalama barabarani

 KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imetumia sh milioni 80 kufanikisha shughuli mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani nchini. Hayo yalisemwa na Ofisa Uhusiano wa TBL,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtanzania ashinda Sh500 mil

Mshindi wa Big Brother Africa Hotshots 2014, Idris Sultan (21) amesema anataka kuwa mfano wa kuigwa kwa kuwa amejifunza mengi kwa washindi waliopita wa mashindano hayo ya televisheni ya maisha halisi.

 

11 years ago

Mwananchi

Taasisi yasaidia Saccos Sh500 mil

Mradi wa kutoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo, umetoa mikopo ya Sh590 milioni kwa vyama saba vya Kuweka na Kukopa (Saccos) ili kuwakopesha wanachama wake.

 

11 years ago

Habarileo

Tanroads yatumia mil.800/- Mianzini

WAKALA wa Barabara (Tanroads) Mkoani Arusha imetumia Sh milioni 800 kwa ajili ya kukarabati miundombinu, ambayo imekuwa ikiharibiwa na wananchi katika eneo la taa za kuongozea magari la Mianzini na Sanawari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Juakihuma yatumia mil. 60/- kuhifadhi mazao

JUMUIYA  ya Wakulima wa Kilimo Hai wa Usambara Mashariki (Juakihuma) wilayani Muheza na Korogwe, Tanga imetumia  zaidi ya sh milioni 60  kwa ujenzi wa ghala la kuhifadhia mazao ya wakulima...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SEMA yatumia mil. 25/- kusaidia wakulima

SHIRIKA la Mpango  Endelevu wa Uboreshaji Mazingira (SEMA), limetumia zaidi ya sh milioni 25 kununua vifaa vyenye ujumbe utakaowasaidia wakulima kubadilika ili kuendana na mabadiliko ya tabia nchi. Hayo yamesemwa...

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIE YATUMIA MIL. 7 MSIBA WA KUAMBIANA

Stori: Hamida Hassan
Memba wa Klabu ya Bongo Movie Unity wamepambana vilivyo na kufanikiwa kuchangishana Sh. milioni 7 zilizofanikisha shughuli za msiba wa aliyekuwa mwigizaji, prodyuza na mwandishi wa skripti za sinema za Kibongo, Adam Philip Kuambiana. Raisi wa Bongo Muvi Steve Nyerere akisoma wasifu wa msanii mwenzao aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa Bongo Muvi, Adam Phillip Kuambiana. Chanzo makini kutoka ndani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani