Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtanzania ashinda Sh500 mil

Mshindi wa Big Brother Africa Hotshots 2014, Idris Sultan (21) amesema anataka kuwa mfano wa kuigwa kwa kuwa amejifunza mengi kwa washindi waliopita wa mashindano hayo ya televisheni ya maisha halisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mikataba kuikamua Yanga Sh500 mil

Klabu ya Yanga ipo hatarini kupoteza mamilioni ya fedha kama fidia kutokana na kutothamini, kutoheshimu mikataba baina yake na wadau mbalimbali wa soka ndani na nje ya nchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Taasisi yasaidia Saccos Sh500 mil

Mradi wa kutoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo, umetoa mikopo ya Sh590 milioni kwa vyama saba vya Kuweka na Kukopa (Saccos) ili kuwakopesha wanachama wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam yasaka ubingwa kwa Sh500 mil

‘Maisha yanakwenda kasi’, huo ndio ukweli baada ya mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Azam kutumia Sh565 milioni kusajili nyota sita akiwamo mchezaji ghali zaidi msimu huu, Leonel Saint-Preux.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yatumia Sh500 mil kwa nyota wanane

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wametumia zaidi ya Sh500 milioni kununua wachezaji nyota wanane katika kipindi cha miaka tatu.

 

10 years ago

Michuzi

MTANZANIA ASHINDA MEDALI MBILI ZA DHAHABU SWAZILAND.

 Bingwa wa mita 1500, Basil John kutoka Jeshi la Polisi Tanzania akimaliza mbio katika uwanja wa Mavuso mjini Mbabane Swaziland ambapo alifanikiwa kuchukua nafasi ya  katika michezo ya majeshi ya Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika(SARPCCO) inayoendelea nchini Swaziland.(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi-Swaziland)Bingwa wa mita 1500, Basil John kutoka Jeshi la Polisi Tanzania akipongezwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi la Swaziland baada ya kumvalisha medali ya dhahabu katika michezo ya...

 

5 years ago

Michuzi

Shabiki wa Real Madrid ashinda Mil. 166.3 za M-BET

Dar es Salaam. Shabiki wa timu bingwa kihistoria ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid, Mohamed Ngolo ameshinda sh 166,397.840 kupitia droo ya kwanza ya mchezo wa Perfect 12 unaoendeshwa na kampuni ya M-Bet Tanzania.

Ngolo ambaye fundi katika mkoa wa Manyara ameweza kubashiri kwa usahihi mechi 12 za ligi mbalimbali duniani na kuwa mshindi wa kwanza wa droo ya Perfect 12 mwaka huu.

Meneja Masoko wa kampuni ya M-BET, Allen Mushi alisema kuwa wamerafirijika kupata mshindi wa...

 

10 years ago

GPL

MAMA MKULIMA ASHINDA MIL. 10/- ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha,Mrisho Millao(kulia)akiandika namba ya Hynes Petro Kanumba (20) Mkazi wa kijiji cha Inyonga mkoani Rukwa aliyeibuka mshindi wa Shilingi Milioni 10/- katika droo ya nane kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,wengine katika picha kutoka kushoto Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo,Matina Nkurlu na Meneja uhakiki wa mapato Vodacom Zakaria Kamweru.Ili mteja...

 

9 years ago

Michuzi

PROMOTER MTANZANIA ANAYEISHI MAREKANI ASHINDA TUZO YA "BEST PROMOTER" MAREKANI

                                Ndugu Dickson anayefahamika kwa wengi kama  Mr "DMK "Promoter "DMK" wa Kampuni ya DMK GLOBAL PROMOTIONS ashinda Tuzo ya Best Promoter USA katika zile tuzo za AFRICAN ENTERTAINMENT AWARDS USA 2015 ,Tuzo hizo zilitolewa OCTOBER 31 New York ambapo Makampuni 6 yalikuwa yakichuana kipengele hicho na DMK Global kuibuka kidedea,Pia katika Awards hizo Wasanii kutoka Tanzania Diamond alichukua Tuzo ya Hottest Male Single na Ommy Dimpoz tuzo ya People's Choice .
   ...

 

10 years ago

Mwananchi

Sarafu ya Sh500 kuanza kutumika Oktoba

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imezindua rasmi sarafu mpya ya Sh500 itakayoanza kutumika Oktoba mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani