BONGO MOVIE YATUMIA MIL. 7 MSIBA WA KUAMBIANA
Stori: Hamida Hassan Memba wa Klabu ya Bongo Movie Unity wamepambana vilivyo na kufanikiwa kuchangishana Sh. milioni 7 zilizofanikisha shughuli za msiba wa aliyekuwa mwigizaji, prodyuza na mwandishi wa skripti za sinema za Kibongo, Adam Philip Kuambiana. Raisi wa Bongo Muvi Steve Nyerere akisoma wasifu wa msanii mwenzao aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa Bongo Muvi, Adam Phillip Kuambiana. Chanzo makini kutoka ndani ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog31 May
Breaking News: Msiba mwingine Bongo Movie “George Tyson” afariki kwenye ajali ya gari usiku huu
Produza maarufu wa filamu nchini George Tyson (pichani) amefariki dunia usiku huu kwenye ajali ya gari Morogoro wakitokea Dodoma na wenzake sita kujeruhiwa akiwemo Blogger maarufu DJ Choka.
Chanzo cha jali hiyo akijajulikana bado MOblog inaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi na tutawapa taarifa hapo baadae.
Taarifa hizi zimethibitishwa na jamaa wa karibu wa marehemu.
MOblog inaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha marehemu George Tyson na inawaombea nafuu wote waliojeruhiwa kwenye...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
SEMA yatumia mil. 25/- kusaidia wakulima
SHIRIKA la Mpango Endelevu wa Uboreshaji Mazingira (SEMA), limetumia zaidi ya sh milioni 25 kununua vifaa vyenye ujumbe utakaowasaidia wakulima kubadilika ili kuendana na mabadiliko ya tabia nchi. Hayo yamesemwa...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Juakihuma yatumia mil. 60/- kuhifadhi mazao
JUMUIYA ya Wakulima wa Kilimo Hai wa Usambara Mashariki (Juakihuma) wilayani Muheza na Korogwe, Tanga imetumia zaidi ya sh milioni 60 kwa ujenzi wa ghala la kuhifadhia mazao ya wakulima...
11 years ago
Habarileo31 May
Tanroads yatumia mil.800/- Mianzini
WAKALA wa Barabara (Tanroads) Mkoani Arusha imetumia Sh milioni 800 kwa ajili ya kukarabati miundombinu, ambayo imekuwa ikiharibiwa na wananchi katika eneo la taa za kuongozea magari la Mianzini na Sanawari.
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Wizara yatumia mil.48/- kulipia ada wanachuo
WIZARA ya Nishati na Madini imetoa sh milioni 48.42 kwa ajili ya kuwalipia ada wanafunzi 40 kutoka mikoa ya Mtwara na Lindi, wanasoma kwenye Chuo Kikuu cha Stella Maris. Akizungumza...
11 years ago
Mwananchi31 Dec
Yanga yatumia Sh500 mil kwa nyota wanane