Mvua yaharibu mazao ya Sh5 mil
>Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo, Manispaa ya Dodoma wanaouza mazao ya nafaka, wamepata hasara ya Sh5 milioni baada ya mazao yao kuharibiwa na mvua.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMVUA YAHARIBU MIUNDOMBINU YA WAMACHINGA
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimeonekana kuvuruga dili za wafanyabiashara ndogondogo 'wamachinga' wanaopanga bidhaa zao kando ya barabara kufuatia maeneo wanayotumia kupanga bidhaa zao kujaa maji. Pichani ni maeneo ya barabara ya Msimbazi jijini Dar yalivyonaswa na kamera yetu leo mchana.
(PICHA:Â RICHARD BUKOSÂ / GPL)
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Mvua yaharibu barabara Tanga
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini imesababisha kusombwa daraja, kuharibu barabara na kuzolewa nyumba katika Wilaya tatu za Mkoa wa Tanga.
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Mvua yaharibu makazi ya familia 14
Familia 14 zenye watu 74 za kijiji cha Ngumbu, wilaya ya Liwale, mkoani Lindi hazina makazi kutokana na mvua iliyoambatana na upepo mkali ambayo pia imeezua madarasa matatu na stoo ya shule ya kijiji hicho.
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Mvua yaharibu miundombinu reli
Wakati timu ya wahandisi ikiendelea kufanya tathimni na marekebisho ya awali ya kipande cha reli reli kilichoharibika eneo la Godegode kutokana na mvua kubwa zilizoanza kunyesha mwanzoni mwa Januari mkoani Dodoma, hali imekuwa mbaya zaidi baada ya kipande kingine kuharibika upya.
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Mvua yaharibu nyumba, ekari 300 za mashamba
Mvua ya mawe iliyonyesha jana alasiri katika Kijiji cha Isansa, Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya kwa zaidi ya dakika 40, imeezua mabati ya nyumba na kuharibu zaidi ya ekari 300 za mashamba.
11 years ago
MichuziMVUA YAHARIBU SEHEMU YA BARABARA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Sh5 mil kutumika kuleta umeme
Chama cha Msingi cha Wakulima wa Tumbaku, Kata ya Kisanga wilayani Sikonge, kimetenga Sh5 milioni za mauzo ya tumbaku kwa msimu wa 2013/14 kwa ajili ya kutunisha mfuko maalumu wa kuweka umeme kwenye vijiji vitatu.
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Nesi atekwa Dar, watekaji wataka Sh5 mil
Watu wasiojulikana wamemteka Muuguzi wa Hospitali ya Mwananyamala, Pili Amiri, huku wakitoa sharti la kupewa Sh5 milioni ili wamuache huru.
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Juakihuma yatumia mil. 60/- kuhifadhi mazao
JUMUIYA ya Wakulima wa Kilimo Hai wa Usambara Mashariki (Juakihuma) wilayani Muheza na Korogwe, Tanga imetumia zaidi ya sh milioni 60 kwa ujenzi wa ghala la kuhifadhia mazao ya wakulima...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania