Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua yaharibu nyumba, ekari 300 za mashamba

Mvua ya mawe iliyonyesha jana alasiri katika Kijiji cha Isansa, Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya kwa zaidi ya dakika 40, imeezua mabati ya nyumba na kuharibu zaidi ya ekari 300 za mashamba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mvua kubwa zaaribu zaidi ya ekari 10 za mashamba ya wakulima 30 wa Kijiji cha Mtipa,Manispaa ya Singida!!

SAM_0054

Vifaa vya  kufungua maji ili yaweze kusambazwa katika vito vya kusambazia maji ili wananhi waweze kuanza kunufaika na mradi huo ambao mpaka sasa haijulikani huduma hiyo itaanza kutolewa lini maana mkandarasi licha ya mkandarasi kutomaliza kazi,vile vile hajulikani alipokwenda.(Picha zote na Jumbe Ismailly).

Na,Jumbe Ismailly,

[SINGIDA] Mvua  kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani Singida zimeharibu zaidi ya ekari kumi za mashamba ya wakulima 30 wa Kijiji cha Mtipa,Manispaa ya Singida kufuatia...

 

11 years ago

Habarileo

Mvua yabomoa nyumba 300 Rorya

NYUMBA 300 katika kata tano wilayani Rorya, zimeharibiwa na mvua iliyonyesha mwishoni mwa wiki.

 

9 years ago

Michuzi

EKARI 7000 ZA MASHAMBA KUGAIWA KWA WANANCHI WA ARUSHA.

SERIKALI imetwaa jumla ya Ekari 7000 baada ya ubatilishwaji wa Mashamba ya Tanzania plantatition limited yaliyokua yakimilikiwa na mwekezaji  kutoka nje ,mashamba hayo yanatajiwa kugawanywa kwa wananchi 2000 wenye uhitaji wa ardhi ya makazi na mashamba .
Aidha baada ya ubatilishwaji wa mashamba hayo Arusha imepata ekari 6176.5 na Halmashauri ya Meru ekari 925  hivyo kufikia ekari 7101 ambazo zitagawanywa kwa wananchi.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi,Wiliam Lukuvi wakati...

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu miundombinu reli

Wakati timu ya wahandisi ikiendelea kufanya tathimni na marekebisho ya awali ya kipande cha reli reli kilichoharibika eneo la Godegode kutokana na mvua kubwa zilizoanza kunyesha mwanzoni mwa Januari mkoani Dodoma, hali imekuwa mbaya zaidi baada ya kipande kingine kuharibika upya.

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu makazi ya familia 14

Familia 14 zenye watu 74 za kijiji cha Ngumbu, wilaya ya Liwale, mkoani Lindi hazina makazi kutokana na mvua iliyoambatana na upepo mkali ambayo pia imeezua madarasa  matatu na stoo ya shule ya kijiji hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu barabara Tanga

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini imesababisha kusombwa daraja, kuharibu barabara na kuzolewa nyumba katika Wilaya tatu za Mkoa wa Tanga.

 

11 years ago

GPL

MVUA YAHARIBU MIUNDOMBINU YA WAMACHINGA

Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimeonekana kuvuruga dili za wafanyabiashara ndogondogo 'wamachinga' wanaopanga bidhaa zao kando ya barabara kufuatia maeneo wanayotumia kupanga bidhaa zao kujaa maji. Pichani ni maeneo ya barabara ya Msimbazi jijini Dar yalivyonaswa na kamera yetu leo mchana. (PICHA:  RICHARD BUKOS  / GPL)

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu mazao ya Sh5 mil

>Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo, Manispaa ya Dodoma wanaouza mazao ya nafaka, wamepata hasara ya Sh5 milioni baada ya mazao yao kuharibiwa na mvua.

 

9 years ago

Habarileo

Mafuriko Nyumba ya Mungu yasomba ekari 20

ZAIDI ya ekari 20 za mazao ya aina mbalimbali, ikiwamo vitunguu na mahindi pamoja na nyumba ambazo idadi yake haijulikani katika vijiji vya Jitengeni na Mvungwe wilayani Same, zimeharibiwa na mafuriko kutoka bwawa la Nyumba ya Mungu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani