Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua yaharibu barabara Tanga

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini imesababisha kusombwa daraja, kuharibu barabara na kuzolewa nyumba katika Wilaya tatu za Mkoa wa Tanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MVUA YAHARIBU SEHEMU YA BARABARA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI

Lori la kubeba kifusi kwa ajili ya ukarabati wa barabara iliyopo katika hifadhi ya serengeti likiwa limekwama baada ya kunasa kwenye tope na kufunga barabara kwa muda. Magari yaliyokuwa na watalii yalilazimika kuchepuka na kuendelea na safari. Zikafanyika jitihada za kulinasua hilo gari kutoka katika eneo hilo . Barabara iko kwenye matengenezo. Hatimaye gari lilifanikiwa kutoka sehemu lilipokuwa limenasa. Safari ikaendelea kwa watumiaji wa mabasi yaendayo Musoma na...

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu makazi ya familia 14

Familia 14 zenye watu 74 za kijiji cha Ngumbu, wilaya ya Liwale, mkoani Lindi hazina makazi kutokana na mvua iliyoambatana na upepo mkali ambayo pia imeezua madarasa  matatu na stoo ya shule ya kijiji hicho.

 

11 years ago

GPL

MVUA YAHARIBU MIUNDOMBINU YA WAMACHINGA

Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimeonekana kuvuruga dili za wafanyabiashara ndogondogo 'wamachinga' wanaopanga bidhaa zao kando ya barabara kufuatia maeneo wanayotumia kupanga bidhaa zao kujaa maji. Pichani ni maeneo ya barabara ya Msimbazi jijini Dar yalivyonaswa na kamera yetu leo mchana. (PICHA:  RICHARD BUKOS  / GPL)

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu miundombinu reli

Wakati timu ya wahandisi ikiendelea kufanya tathimni na marekebisho ya awali ya kipande cha reli reli kilichoharibika eneo la Godegode kutokana na mvua kubwa zilizoanza kunyesha mwanzoni mwa Januari mkoani Dodoma, hali imekuwa mbaya zaidi baada ya kipande kingine kuharibika upya.

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu mazao ya Sh5 mil

>Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo, Manispaa ya Dodoma wanaouza mazao ya nafaka, wamepata hasara ya Sh5 milioni baada ya mazao yao kuharibiwa na mvua.

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu nyumba, ekari 300 za mashamba

Mvua ya mawe iliyonyesha jana alasiri katika Kijiji cha Isansa, Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya kwa zaidi ya dakika 40, imeezua mabati ya nyumba na kuharibu zaidi ya ekari 300 za mashamba.

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yakata mawasiliano ya barabara

>Mamia ya abiria wakiwamo watalii waliokuwa wakisafiri kutoka mkoani Arusha kwenda Ngorongoro na Serengeti mkoani Manyara, wameshindwa kukamilisha safari zao baada ya Daraja la Kirurumo lililoko katika Mto wa Mbu wilayani Monduli kukatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

 

11 years ago

Habarileo

Mvua yakata barabara Dar - Arusha

Gari likijaribu kupita katika sehemu ya barabara iliyofunikwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha katika kijiji cha Mgagao, wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro jana. (Picha na Mroki Mroki).MVUA kubwa zilizonyesha usiku wa kuamkia jana mkoani Kilimanjaro, zimekata mawasiliano ya barabara kuu ya Dar es Salaam-Arusha na kusababisha magari kukwama kwa saa nane Hedaru wilayani hapa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mvua yakata barabara Rujewa — Madibila

MVUA zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha kukatika mawasiliano ya barabara inayounganisha eneo la Rujewa na Madibila wilayani Mbarali, Mbeya. Wakizungumza na Tanzania Daima jana baadhi ya wananchi waliokutwa eneo hilo wakivuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani