Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MVUA YAHARIBU MIUNDOMBINU YA WAMACHINGA

Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimeonekana kuvuruga dili za wafanyabiashara ndogondogo 'wamachinga' wanaopanga bidhaa zao kando ya barabara kufuatia maeneo wanayotumia kupanga bidhaa zao kujaa maji. Pichani ni maeneo ya barabara ya Msimbazi jijini Dar yalivyonaswa na kamera yetu leo mchana. (PICHA:  RICHARD BUKOS  / GPL)

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu miundombinu reli

Wakati timu ya wahandisi ikiendelea kufanya tathimni na marekebisho ya awali ya kipande cha reli reli kilichoharibika eneo la Godegode kutokana na mvua kubwa zilizoanza kunyesha mwanzoni mwa Januari mkoani Dodoma, hali imekuwa mbaya zaidi baada ya kipande kingine kuharibika upya.

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu barabara Tanga

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini imesababisha kusombwa daraja, kuharibu barabara na kuzolewa nyumba katika Wilaya tatu za Mkoa wa Tanga.

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu makazi ya familia 14

Familia 14 zenye watu 74 za kijiji cha Ngumbu, wilaya ya Liwale, mkoani Lindi hazina makazi kutokana na mvua iliyoambatana na upepo mkali ambayo pia imeezua madarasa  matatu na stoo ya shule ya kijiji hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu mazao ya Sh5 mil

>Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo, Manispaa ya Dodoma wanaouza mazao ya nafaka, wamepata hasara ya Sh5 milioni baada ya mazao yao kuharibiwa na mvua.

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu nyumba, ekari 300 za mashamba

Mvua ya mawe iliyonyesha jana alasiri katika Kijiji cha Isansa, Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya kwa zaidi ya dakika 40, imeezua mabati ya nyumba na kuharibu zaidi ya ekari 300 za mashamba.

 

11 years ago

Michuzi

MVUA YAHARIBU SEHEMU YA BARABARA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI

Lori la kubeba kifusi kwa ajili ya ukarabati wa barabara iliyopo katika hifadhi ya serengeti likiwa limekwama baada ya kunasa kwenye tope na kufunga barabara kwa muda. Magari yaliyokuwa na watalii yalilazimika kuchepuka na kuendelea na safari. Zikafanyika jitihada za kulinasua hilo gari kutoka katika eneo hilo . Barabara iko kwenye matengenezo. Hatimaye gari lilifanikiwa kutoka sehemu lilipokuwa limenasa. Safari ikaendelea kwa watumiaji wa mabasi yaendayo Musoma na...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

News alert:mvua za masika zasababisha maafa, uharibifu wa nyumba na miundombinu leo

Na Abdulla Ali wa Maelezo, Zanzibar                                        

Mvua za masika zinazoendelea kunyesha Visiwani Zanzibar zimesababisha hasara kubwa ikiwemo upotevu mali na mifugo, uharibifu wa miundombinu pamoja na kusababisha vifo vya watu. Hadi sasa watu wawili  ambao ni Nd. Juma Hamad (25) mkaazi wa Mwanakwerekwe na mtoto mmoja  mkaazi wa Kinuni anaekisiwa kuwa na miaka 8 wamepoteza maisha. Wote wawili ni kutoka Wilaya ya Magharibi Unguja.Hayo yamweelezwa na Waziri wa Nchi,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive mvua ya siku 3 Dar: Jiji lasimama, miundombinu kero tupu kila kona

Na Andrew Chale, Modewji blog

Kufuatia mvua kubwa  inayoendelea kunyesha kwa siku ya tatu leo imeendelea kusababisha uharibifu wa miundombinu  mingi ya jiji la Dar es Salaam kuharibika vibaya huku mingine ikifungwa kwa kushindwa kutumika hasa kwa magari yaingiayo katikati ya jiji la Dar es Salaam.

Modewji blog  imeshuhudia maeneo kadhaa  katikati ya jiji na maeneo  mengineo ya nje ya jiji yakiwa katika ubovu mkubwa hata magari kupita kwa taabu na mengine kuzama katika madimbwi.

 Baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani