Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MVUA YAHARIBU SEHEMU YA BARABARA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI

Lori la kubeba kifusi kwa ajili ya ukarabati wa barabara iliyopo katika hifadhi ya serengeti likiwa limekwama baada ya kunasa kwenye tope na kufunga barabara kwa muda. Magari yaliyokuwa na watalii yalilazimika kuchepuka na kuendelea na safari. Zikafanyika jitihada za kulinasua hilo gari kutoka katika eneo hilo . Barabara iko kwenye matengenezo. Hatimaye gari lilifanikiwa kutoka sehemu lilipokuwa limenasa. Safari ikaendelea kwa watumiaji wa mabasi yaendayo Musoma na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu barabara Tanga

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini imesababisha kusombwa daraja, kuharibu barabara na kuzolewa nyumba katika Wilaya tatu za Mkoa wa Tanga.

 

10 years ago

Michuzi

UBOVU WA BARABARA WAWAKOSESHA RAHA WATALII WA NDANI KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO.

Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa eneo la kambi ya Tembo wakisubiri magari madogo ya hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (KINAPA) kwa ajili ya kuwachukua kuwapeleka katika hifadhi hiyo. Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara.
Watalii wa ndani walilazimika kupanda magari ya aina hii ili kufika katika kilele cha Shira.
Safari ya kuelekea kilele cha Shira...

 

10 years ago

GPL

MAJANGILI WANASWA HIFADHI YA TAIFA SERENGETI

Nyama ya swala aliyeuawa na majangili ikiwa kwenye gari.
Majangiri wakipandishwa kwenye gari la askari wa wanyamapoli. Gari la askari wa wanayamapoli likiwapeleka majangiri katika Kituo cha Polisi cha Bunda.…

 

9 years ago

Vijimambo

TAAARIFA KWA UMMA KUTOKA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA KUHUSU MOTO UNAOUNGUZA SEHEMU YA MLIMA MERU

post-feature-imageHIFADHI ZA TAIFA TANZANIAMoto mkubwa umezuka mwishoni mwa wiki hii na kuunguza sehemu ya Mlima Meru katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa chanzo cha moto huo ni vitendo haramu vya urinaji wa asali ndani ya msitu wa hifadhi hiyo.
Wananchi wapatao 200 kutoka vijiji jirani vya Olosinoni na Kisimiri Juu wakishirikiana na TANAPA wamefanikiwa kuudhibiti moto huo ili usiweze kuleta madhara makubwa kwa binadamu hususan wageni wanaotembelea hifadhi kwa lengo la kupanda...

 

11 years ago

GPL

MVUA YAHARIBU MIUNDOMBINU YA WAMACHINGA

Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimeonekana kuvuruga dili za wafanyabiashara ndogondogo 'wamachinga' wanaopanga bidhaa zao kando ya barabara kufuatia maeneo wanayotumia kupanga bidhaa zao kujaa maji. Pichani ni maeneo ya barabara ya Msimbazi jijini Dar yalivyonaswa na kamera yetu leo mchana. (PICHA:  RICHARD BUKOS  / GPL)

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu miundombinu reli

Wakati timu ya wahandisi ikiendelea kufanya tathimni na marekebisho ya awali ya kipande cha reli reli kilichoharibika eneo la Godegode kutokana na mvua kubwa zilizoanza kunyesha mwanzoni mwa Januari mkoani Dodoma, hali imekuwa mbaya zaidi baada ya kipande kingine kuharibika upya.

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu makazi ya familia 14

Familia 14 zenye watu 74 za kijiji cha Ngumbu, wilaya ya Liwale, mkoani Lindi hazina makazi kutokana na mvua iliyoambatana na upepo mkali ambayo pia imeezua madarasa  matatu na stoo ya shule ya kijiji hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu mazao ya Sh5 mil

>Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo, Manispaa ya Dodoma wanaouza mazao ya nafaka, wamepata hasara ya Sh5 milioni baada ya mazao yao kuharibiwa na mvua.

 

10 years ago

Vijimambo

WAHARIRI KATIKA VYOMBO MBALIMBALI YA HABARI WAFURAHIA ZIARA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA SAANANE.

Baada ya safafri ya takribani dakika 10 hatimaye Wahariri na Wanahabari wakawasili hifadhi ya Taifa ya Saaanane.Safari ya kutembelea maeneo mbalimbali katika hifadhi hiyo ilianza.Wahariri walipata maelezo katika maeneo tofauti tofauti.
Wakati mwingine katika mapitio ndani ya Hifadhi hiyo,wahariri na wanahabari walilazimika kupita kwa staili ya kutambaa.Wengine walihitaji pia msaada ili waweze kuvuka kwa baadhi ya  maeneo .Baada ya safari ya muda mrefu ,ndipo wakafika katika jiwe la kuruka na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani