Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAAARIFA KWA UMMA KUTOKA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA KUHUSU MOTO UNAOUNGUZA SEHEMU YA MLIMA MERU

post-feature-imageHIFADHI ZA TAIFA TANZANIAMoto mkubwa umezuka mwishoni mwa wiki hii na kuunguza sehemu ya Mlima Meru katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa chanzo cha moto huo ni vitendo haramu vya urinaji wa asali ndani ya msitu wa hifadhi hiyo.
Wananchi wapatao 200 kutoka vijiji jirani vya Olosinoni na Kisimiri Juu wakishirikiana na TANAPA wamefanikiwa kuudhibiti moto huo ili usiweze kuleta madhara makubwa kwa binadamu hususan wageni wanaotembelea hifadhi kwa lengo la kupanda...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

TANAPA Yatoa taarifa kwa Umma juu ya Hifadhi za Taifa Mlima Meru kuunguzwa kwa moto!

tanapaaSehemu ya moto inavyoonekana ikiunguza Hifadhi ya Mlima Meru, Arusha ulioanza tokea juzi..

tanapaaaKaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Martin Loibooki akiongea na wanakijiji wa Olosinoni wanaoshiriki zoezi la kuzima moto unaonendelea kuwaka Mlima Meru katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha jana.

Moto mkubwa umezuka mwishoni mwa wiki hii na kuunguza sehemu ya Mlima Meru katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa chanzo cha moto huo ni vitendo haramu vya urinaji wa asali ndani ya...

 

10 years ago

Michuzi

MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMAJARO (KINAPA)

 Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 wametembelea hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kujifunza mambo mengi kuhusiana na hifadhi hiyo ya mlima kilamanjaro. Pichani ni warembo hao wakipiga picha na mdau mkubwa wa masuala ya urembo mkoani Kilimajaro, Athena Mawalla wa mgahawa wa Meku's Bistro wakati warembo hao walipomtembelea wakiwa njiani kwenda KINAPA. Warembo wakiwa katika gari njiani kuelekea KINAPA. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Dewji Blog

Washiriki wa Miss Tanzania 2014 watembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimajaro — KINAPA

FKB_9581

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 wametembelea hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kujifunza mambo mengi kuhusiana na hifadhi hiyo ya mlima kilamanjaro. Pichani ni warembo hao wakipiga picha na mdau mkubwa wa masuala ya urembo mkoani Kilimajaro, Athena Mawalla wa mgahawa wa Meku’s Bistro wakati warembo hao walipomtembelea wakiwa njiani kwenda KINAPA.

Warembo wakiwa katika gari njiani kuelekea KINAPA.

Afisa Habari wa Kamati ya Miss Tanzania, Hidan...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI YABARIKI KUANZISHWA KWA MFUKO WA KULINDA MLIMA KILIMANJARO NA MLIMA MERU

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakati wa kikao kilicho shirikisha Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Wabunge katika majimbo ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Wakuu wa wilaya zinazopakana na mlima Kilimanjaro na mlima Meru,TANAPA na Idara ya Misitu,(kulia)ni kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Ibrahim Msengi.Naibu waziri wa TAMISEMI ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Siha ,akichangia wakati wa kikao cha kuanzishwa kwa mchakato wa uanzishwaji mfumo wa...

 

9 years ago

Michuzi

Moto mkubwa wazuka mlima meru mkoani arusha

Moshi mkubwa umetanda katika anga ambapo Kuna taarifa kuwa Eneo la hifadhi ya Mlima Meru Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha linawaka moto. Chanzo cha moto huo, ambao unasemekana ulianza jana, bado hakijafahamika. Tunaendelea kufuatilia taarifa hii na tutawajuza zaidi mara tupatapo habari za uhakika kutoka eneo la tukio.

 

10 years ago

Vijimambo

HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA HUO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI.

Mhifadhi utalii katka hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akizungumza juu ya ofa iliyotangazwa na hifadhi hiyo ya kupanda mlima huo kwa siku moja na kurudi hadi kilele cha Shira.
Afisa masoko wa KINAPA ,Antypas Mgungusi akisistiza jambo wakati akizungumzia juu ya ofa ya safafri ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku akishauri wenye sherehe zao kutumia nafasi hiyo kupanda Mlima huo kwa ajili ya kufanya sherehe zao,alitaja sherehe ambazo zinaweza fanyika katika hifadhi hiyo ni pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani