WIZARA YA MALIASILI YABARIKI KUANZISHWA KWA MFUKO WA KULINDA MLIMA KILIMANJARO NA MLIMA MERU
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakati wa kikao kilicho shirikisha Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Wabunge katika majimbo ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Wakuu wa wilaya zinazopakana na mlima Kilimanjaro na mlima Meru,TANAPA na Idara ya Misitu,(kulia)ni kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Ibrahim Msengi.Naibu waziri wa TAMISEMI ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Siha ,akichangia wakati wa kikao cha kuanzishwa kwa mchakato wa uanzishwaji mfumo wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboHIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA HUO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI.
Afisa masoko wa KINAPA ,Antypas Mgungusi akisistiza jambo wakati akizungumzia juu ya ofa ya safafri ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku akishauri wenye sherehe zao kutumia nafasi hiyo kupanda Mlima huo kwa ajili ya kufanya sherehe zao,alitaja sherehe ambazo zinaweza fanyika katika hifadhi hiyo ni pamoja na...
11 years ago
MichuziKamati ya ardhi,maliasili na mazingira yatembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro
9 years ago
Dewji Blog22 Sep
TANAPA Yatoa taarifa kwa Umma juu ya Hifadhi za Taifa Mlima Meru kuunguzwa kwa moto!
Sehemu ya moto inavyoonekana ikiunguza Hifadhi ya Mlima Meru, Arusha ulioanza tokea juzi..
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Martin Loibooki akiongea na wanakijiji wa Olosinoni wanaoshiriki zoezi la kuzima moto unaonendelea kuwaka Mlima Meru katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha jana.
Moto mkubwa umezuka mwishoni mwa wiki hii na kuunguza sehemu ya Mlima Meru katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa chanzo cha moto huo ni vitendo haramu vya urinaji wa asali ndani ya...
9 years ago
VijimamboTAAARIFA KWA UMMA KUTOKA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA KUHUSU MOTO UNAOUNGUZA SEHEMU YA MLIMA MERU
Wananchi wapatao 200 kutoka vijiji jirani vya Olosinoni na Kisimiri Juu wakishirikiana na TANAPA wamefanikiwa kuudhibiti moto huo ili usiweze kuleta madhara makubwa kwa binadamu hususan wageni wanaotembelea hifadhi kwa lengo la kupanda...
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Mlima Kilimanjaro walindwa kwa mtandao
HIFADHI ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro, (Kinapa), imejizatiti kukabiliana na matukio ya moto kwenye maeneo yanayozunguka mlima huo, ambako sasa wanatumia mfumo maalum wa mawasiliano ya ‘internet’ kubaini dalili za...
9 years ago
Mtanzania21 Sep
Hofu ya volcano yatanda Mlima Meru
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
WAKAZI wa Jiji la Arusha jana walikumbwa na hofu kubwa, baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa ni volcano kulipuka Mlima Meru.
Hali hiyo ilisababisha wingu zito la vumbi kutanda angani huku wakazi wa vijiji vinavyozunguka mlima wakikimbia maeneo yao. Wingu hilo lililotanda angani lilianza kuonekana saa 9 alasiri upande wa Kaskazini mwa Mlima Meru kisha kuendelea kusambaa hadi juu ya kilele cha mlima huo.
MTANZANIA lilishuhudia vumbi hilo likielekea upande wa Kaskazini mwa...
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
Mlemavu apanda mlima Kilimanjaro kwa baiskeli
MLEMAVU Eiju Murakanil, (65), raia wa Japan amefanikiwa kufika kituo cha Gilmas Mlima Kilimanjaro urefu wa mita 5,685 kutoka usawa wa bahari kikiwa ni kituo kimoja kutoka kileleni akitumia kiti...
5 years ago
MichuziMUONEKANO WA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO KWA SASA
Picha iliyopigwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete ikionesha muonekano wa juu wa Mlima Kilimanjaro Februari 12, 2020.
Dkt. Kikwete amesema kuwa picha hiyo ameipiga wakati akiwa njiani akitokea Nairobi kwenda Dar es Salaam, saa chache baada ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili nchini Kenya, Daniel Arap Moi.
10 years ago
MichuziMAGEREZA WAJIFUA TAYARI KWA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10