Mvua yaharibu miundombinu reli
Wakati timu ya wahandisi ikiendelea kufanya tathimni na marekebisho ya awali ya kipande cha reli reli kilichoharibika eneo la Godegode kutokana na mvua kubwa zilizoanza kunyesha mwanzoni mwa Januari mkoani Dodoma, hali imekuwa mbaya zaidi baada ya kipande kingine kuharibika upya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMVUA YAHARIBU MIUNDOMBINU YA WAMACHINGA
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Mvua yaharibu makazi ya familia 14
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Mvua yaharibu barabara Tanga
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Mvua yaharibu mazao ya Sh5 mil
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Mvua yaharibu nyumba, ekari 300 za mashamba
11 years ago
MichuziMVUA YAHARIBU SEHEMU YA BARABARA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI
9 years ago
Mwananchi08 Sep
‘Acheni kuhujumu miundombinu ya reli’
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6NXvX9D5r-Q/XmzCXVbVIqI/AAAAAAALjYc/QUtjn1uzJ5YDBxN4lXaEDwclYV-eupXSACLcBGAsYHQ/s72-c/1-37.jpg)
KAMATI YA MIUNDOMBINU YARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA RELI YA KISASA YASISITIZA VIWANGO VYA UBORA
![](https://1.bp.blogspot.com/-6NXvX9D5r-Q/XmzCXVbVIqI/AAAAAAALjYc/QUtjn1uzJ5YDBxN4lXaEDwclYV-eupXSACLcBGAsYHQ/s640/1-37.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso, akijaribu ubora wa mataruma yanayotengenezwa katika Kiwanda cha Mataruma Kilosa, wakati kamati hiyo ilipokagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR,Mkoani Morogoro.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/2-37.jpg)
9 years ago
Habarileo05 Jan
Watakiwa kuhakikisha madaraja ya reli hayatikiswi na mvua
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amewataka watendaji wa TRL na RAHCO kutafuta suluhisho la kudumu katika madaraja 32 yaliyo katika mtandao wa reli ya kati ili yasiathiriwe na mvua wakati wote.