Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watakiwa kuhakikisha madaraja ya reli hayatikiswi na mvua

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amewataka watendaji wa TRL na RAHCO kutafuta suluhisho la kudumu katika madaraja 32 yaliyo katika mtandao wa reli ya kati ili yasiathiriwe na mvua wakati wote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu miundombinu reli

Wakati timu ya wahandisi ikiendelea kufanya tathimni na marekebisho ya awali ya kipande cha reli reli kilichoharibika eneo la Godegode kutokana na mvua kubwa zilizoanza kunyesha mwanzoni mwa Januari mkoani Dodoma, hali imekuwa mbaya zaidi baada ya kipande kingine kuharibika upya.

 

5 years ago

Michuzi

WARATIBU WA TARURA WA MIKOA WATAKIWA KUFANYA UKAGUZI WA MARA KWA MARA KATIKA MADARAJA NA BARABARA

Na. Erick Mwanakulya Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amewataka Waratibu wote wa TARURA nchini kufanya ukaguzi wa mara kwa mara katika barabara na madaraja ili kubaini maeneo yanayohitaji ukarabati na kuyafanyia kazi kabla ya kuleta madhara. Mhandisi Seff ameyasema hayo, alipokutana na Waratibu wa TARURA wa Mikoa jijini Dodoma katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi za TARURA Makao Makuu zilizopo Mtumba, ikiwa ni sehemu ya kikao kazi...

 

11 years ago

Michuzi

Mvua zaleta madhara kwenye reli ya Dar-Tanga-MOshi

Sehemu ya njia ya reli katika eneo la Ming’ongo ikiwa inaning’inia baada ya tuta kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Kipalo Amani Kisamfu pamoja na wakurugenzi kutoka Wizara ya Uchukuzi wametembelea eneo hilo leo mchana kuona athari kubwa iliyotokea kwenye njia ya reli. Aidha, katika njia hiyo kilomita kumi na nane za njia ya reli zimeaharibiwa na mvua hizo...

 

10 years ago

Michuzi

VETA WATAKIWA KUHAKIKISHA WANAANDAA WANAFUNZI WA HOTELI NA UTALII WENYE VIWANGO VYA KIMATAIFA.

Baraza la ushauri la chuo cha  mafunzo ya hoteli na utalii (VHTTI) limetakiwa kuhakikisha linaandaa wanafunzi vyema na wenye viwango vya kimataifa   ili kukabiliana  na ushindani mkubwa ulioko katika sekta ya hoteli na utalii duniani.
Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Arumeru Nyerembe Munasa wakati akizindua baraza hilo  jana ndani ya chuo cha hoteli na utalii cha VHTTI kilichopo  nje kidogo ya jiji la Arusha .
Alisema kuwa kutokana na changamoto kubwa ya  hoteli zetu kuajiri watu kutoka nje...

 

10 years ago

Michuzi

VETA WATAKIWA KUHAKIKISHA WANASIKILIZA MAONI YA WADAU WAO ILIKUJUA MAHITAJI YAO SANJARI NA KUBADILISHA MITAALA YA ELIMU

WAZIRI wa Kazi na Ajira Mhe.  Gaudensia Kabaka  akizindua Kongamano la siku mbili jijini Arusha leo linaloshirikisha wadau kutoka sekta mbalimbali kwa ajili ya kujadili changamoto wanazozipata wadau hao wakati wa ufunguzi wa kongamano la siku mbili linaloshirikisha wadau kutoka sekta mbalimbali kwa ajili ya kujadili changamoto wanazozipata wadau hao na nini cha kuongeza kwa vijana wanaopitia Veta na kupata ajira katika sekta mbalimbali sanjari na kuzindua kitabu kinachoanisha mahitaji ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Reli yawatunuku askari reli watunukiwa

Polisi wa Kikosi cha Reli wametunukiwa zawadi mbalimbali askari ikiwamo vyeti baada ya kukamata shehena ya mataruma na reli vyenye thamani ya zaidi ya Sh285 milioni.

 

11 years ago

GPL

MADARAJA MAPYA JIJINI DAR

   Daraja la Morocco jijini Dar.
    Muonekano wa Daraja la Morocco –Dar.
    Daraja la Ubungo.…

 

5 years ago

Michuzi

MADARAJA YASOMBWA NA MAJI MOROGORO


Moja ya Daraja lilisombwa na maji Manispaa ya Morogoro

………………………………..

NA FARIDA SAIDY,MOROGORO

Mvua zinazonyesha mkoani Morogoro zimeendelea kuleta madhara, ambapo baadhi ya Madaraja yamesombwa na maji na kufanya baadhi ya mitaa kutofikika, Mito mikubwa kufurika ukiwemo Mto Morogoro na Mto Mkundi iliyokatiza katikati ya Mji hivyo maji kutiririka kuelekea katika makazi ya watu.

Hata hivyo Wakazi waliopembezoni mwa mito hii mikubwa ukiwemo Mto Morogoro na Mto Mkundi wanasema, pamoja na hali...

 

9 years ago

Michuzi

Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo mkali

Jeshi la polisi mkoani Tabora limetoa agizo kuwachukuliwa hatua polisi wanaojihusisha na uharifu na wanaotoa siri za jeshi hilo: https://youtu.be/ke0jqZIOm3o
Waumi ni wa pentekoste mkoani  Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani