Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua kubwa zaaribu zaidi ya ekari 10 za mashamba ya wakulima 30 wa Kijiji cha Mtipa,Manispaa ya Singida!!

SAM_0054

Vifaa vya  kufungua maji ili yaweze kusambazwa katika vito vya kusambazia maji ili wananhi waweze kuanza kunufaika na mradi huo ambao mpaka sasa haijulikani huduma hiyo itaanza kutolewa lini maana mkandarasi licha ya mkandarasi kutomaliza kazi,vile vile hajulikani alipokwenda.(Picha zote na Jumbe Ismailly).

Na,Jumbe Ismailly,

[SINGIDA] Mvua  kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani Singida zimeharibu zaidi ya ekari kumi za mashamba ya wakulima 30 wa Kijiji cha Mtipa,Manispaa ya Singida kufuatia...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu nyumba, ekari 300 za mashamba

Mvua ya mawe iliyonyesha jana alasiri katika Kijiji cha Isansa, Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya kwa zaidi ya dakika 40, imeezua mabati ya nyumba na kuharibu zaidi ya ekari 300 za mashamba.

 

9 years ago

Michuzi

EKARI 7000 ZA MASHAMBA KUGAIWA KWA WANANCHI WA ARUSHA.

SERIKALI imetwaa jumla ya Ekari 7000 baada ya ubatilishwaji wa Mashamba ya Tanzania plantatition limited yaliyokua yakimilikiwa na mwekezaji  kutoka nje ,mashamba hayo yanatajiwa kugawanywa kwa wananchi 2000 wenye uhitaji wa ardhi ya makazi na mashamba .
Aidha baada ya ubatilishwaji wa mashamba hayo Arusha imepata ekari 6176.5 na Halmashauri ya Meru ekari 925  hivyo kufikia ekari 7101 ambazo zitagawanywa kwa wananchi.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi,Wiliam Lukuvi wakati...

 

11 years ago

Dewji Blog

Halmashauri Mkoa na Manispaa Singida zadaiwa zaidi shilingi 6.3 bilioni na wakandarasi

Waziri Mkuu Akiongea na Waandishi wa Habari 2

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda.

Na Nathaniel Limu, Singida

SEKRETARIETI ya Mkoa na Halmashauri za wilaya na manispaa mkoani Singida zinadaiwa na wakandarasi,wazabuni na watumishi wa umma zaidi ya shilingi 6.3 bilioni hadi novemba mwaka jana.

Madeni hayo yameainishwa kwenye taarifa ya madeni ya mkoa wa Singida iliyotolewa mbele ya kikao cha kamati ya ushauri wa mkoa (RCC) kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha VETA mjini Singida.

Taarifa hiyo...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI BITEKO AWARUHUSU WAKAZI KIJIJI CHA MUNDINDI,LUDEWA KUENDELEZA MASHAMBA YAO KWA KULIMA MAZAO YA MUDA MFUPI

Waziri wa Madini Dotto Biteko amewaruhusu wakazi wa kijiji cha Mundindi wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kuendeleza mashamba yao kwa kulima mazao ya muda mfupi mpaka pale muwekezaji wa mradi wa liganga atakapowalipa fidia zao.

Hayo ameyasema alipotembelea mradi wa liganga uliopo mkoani humo baada ya wakazi wa kijiji hicho kulalamika kuwa wanazuiliwa kulima mashamba yao pasipo kulipwa fidia yoyote kitu ambacho kinawarudisha nyuma kimaendeleo.

Wananchi hao wandai kuwa walikubali kupisha mradi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Halmashauri ya Manispaa Singida yapewa msaada wa zaidi ya Mil 250 kwa ajili ya malori ya taka ngumu

DSC06161Kijiko mali ya manispaa ya Singida kilichonunuliwa kwa shilingi 110 milioni,kikipakia taka ngumu kutoka kwenye dampo la soko la vitunguu mjini hapa jana.Picha na Nathaniel Limu

Na Nathaniel Limu

Serikali kuu imeipatia msaada  halmashauri ya manispaa ya Singida, kijiko na malori mawili makubwa vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi 250 milioni,kwa ajili ya uzoaji wa taka ngumu.

Hayo yamesemwa juzi  na mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina, wakati akizingumza na waandishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

siku ya wakulima kijiji cha Laela wilaya ya Sumbawanga

Mradi wa kutekeleza tija ya uzalishaji katika nyanda za juu kusini umekuwa na mafanikio kwa wakulima kuongeza uzalishaji wa mazao kwa kutumia kilimo hifadhi lakini changamoto kubwa imeonekana ni ukosefu wa masoko . Mradi huo ambao unafadhiliwa na mtandao wa mapinduzi ya kijani barani Afrika (AGRA )unatekelezwa na mashirika manne katika wilaya sita za mikoa ya Mbeya na Rukwa katika mazao manne kutokana na eneo husika ambayo ni Mahindi , mpunga , Soya na maharage kwa kutumia kilimo hifadhi...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif azungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kiomba Mvua, Zanzibar

Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba ahadi alizotoa kwa Wananchi wa Jimbo hilo wakati akiwatumikia ndani ya Kipindi cha Miaka 10 iliyopita atahakikisha kwamba anazikamilisha kabla ya kuanza kwa  kipindi chengine cha Uongozi  baada ya kumalizika kwa uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu.
Alisema yeye bado anaendelea kuwa Kiongozi wa Jimbo hilo kwa vile jukumu la kuwatumikia Wananchi wa Maeneo hayo  uko mikononi mwake na wala hafanyi kampeni kwa mujibu wa kanuni kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chama cha Mapinduzi chazoa viti vyote serikali za mitaa manispaa ya Singida

MANISPAA

Mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina akitoa taarifa ya matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji na vijijini manispaa ya Singida. (picha na maktaba).

Na Nathaniel Limu, Singida

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) manispaa ya Singida,imeibuka kidedea baada ya kuzoa nafasi zote 50 za uenyeviti wa mitaa, sawa na aslimia mia moja kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika juzi.

Hayo yamesemwa na msimamiziwa uchaguzi huo manispaa ya Singida, Joseph Mchina,wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani