WAZIRI BITEKO AWARUHUSU WAKAZI KIJIJI CHA MUNDINDI,LUDEWA KUENDELEZA MASHAMBA YAO KWA KULIMA MAZAO YA MUDA MFUPI
![](https://1.bp.blogspot.com/-aBi951nol0k/Xm4RlPj-jHI/AAAAAAALjuo/kG-4wDbQq4kE2guLZVJtuYCC-S8DLLcYQCLcBGAsYHQ/s72-c/ddee7d2b-2b1e-4aa9-a252-3c78338b74b7.jpg)
Waziri wa Madini Dotto Biteko amewaruhusu wakazi wa kijiji cha Mundindi wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kuendeleza mashamba yao kwa kulima mazao ya muda mfupi mpaka pale muwekezaji wa mradi wa liganga atakapowalipa fidia zao.
Hayo ameyasema alipotembelea mradi wa liganga uliopo mkoani humo baada ya wakazi wa kijiji hicho kulalamika kuwa wanazuiliwa kulima mashamba yao pasipo kulipwa fidia yoyote kitu ambacho kinawarudisha nyuma kimaendeleo.
Wananchi hao wandai kuwa walikubali kupisha mradi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog20 Aug
VIDEO: Wakazi wa kijiji cha Kisanga watoa maoni yao kuhusu washiriki wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015
Ni Siku ya 16 huku Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 Msimu wa nne shindano linalo endeshwa na Shirika la Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow, Likiwa linaelekea Ukingoni ambapo katika siku hii tunaona Maisha ya Mama Shujaa wa Chakula walivyo ishi kwa Siku 15, lakini kubwa zaidi ni wakazi wa Kijiji cha Kisanga hususani wale ambao ndio waliokuwa wanaishi na Akina mama hao katika Kaya zao kutoa maoni yao jinsi walivyo ishi na akina Mama hao. Pia hapa tutaona wasifu wa Washiriki wote wa...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-s2rgBFGM61w/VdRfGIHo5_I/AAAAAAAAclE/zt0M40NLpKI/s72-c/11873728_989084061113913_8620019709940397891_n.jpg)
WAKAZI WA KIJIJI CHA KISANGA WATOA MAONI YAO KUHUSU WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 (VIDEO)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-spoir8wLfTU/Xrjgb1ac2zI/AAAAAAALptg/xdq7uXIcM880Ed8fm8KH5-252FaD_V0XwCLcBGAsYHQ/s72-c/timbaku%252Bpic.jpg)
RAS TABORA ANZENI KULIMA MAZAO MENGINE KUKABILIANA NA MATATIZO YA KUSHUKA KWA UZALISHAJI WA ZAO LA TUMBAKU
NA TIGANYA VINCENT
HALMASHAURI ambazo zinazotegemea sehemu ya mapato kutoka kwenye zao la tumbaku zimetakiwa kuandaa mkakati mpya ambao utawawezesha kulima mazao mengine ili kuwa na msingi wa vyanzo vipya vya mapato ya ndani.
Hatua hiyo inafuatia Kampuni zinazonunua tumbaku Mkoani Tabora kuendelea kushusha makisio ya uzalishaji kwa wakulima wa tumbaku.
Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu Mkoa wa Tabora Msalika Makungu wakati wa kikao cha robo ya tatu cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya...
5 years ago
BBCSwahili20 Feb
'Tunahofia kulima mashamba yetu upande wa Uganda'
10 years ago
MichuziMWENYEKITI BAVICHA KIJIJI CHA LUANA AWATAKA LUDEWA KUTOMPOTEZA FILIKUNJOMBE.
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Mvua kubwa zaaribu zaidi ya ekari 10 za mashamba ya wakulima 30 wa Kijiji cha Mtipa,Manispaa ya Singida!!
Vifaa vya kufungua maji ili yaweze kusambazwa katika vito vya kusambazia maji ili wananhi waweze kuanza kunufaika na mradi huo ambao mpaka sasa haijulikani huduma hiyo itaanza kutolewa lini maana mkandarasi licha ya mkandarasi kutomaliza kazi,vile vile hajulikani alipokwenda.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na,Jumbe Ismailly,
[SINGIDA] Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani Singida zimeharibu zaidi ya ekari kumi za mashamba ya wakulima 30 wa Kijiji cha Mtipa,Manispaa ya Singida kufuatia...
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Diamond awasili Washington, DC tayari kwa makamuzi ya sherehe ya Uhuru muda mfupi ujao
Diamond akiwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa Dulles muda huu tayari kwa makamuzi ya sharehe ya Uhuru itayofanyika muda si mrefu Sheraton, ya Downtown Silver Spring, Maryland.
Diamond akimsalimia mwenyeji wake (hawapo pichani) mara tu alipowasili Dulles.
Kutoka kushoto ni Dj Romy Jones, Diamond na mmoja wa waratibu wa sherehe ya Uhuru Bwn. Phanuel Ligate.
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Mtwara watakiwa kulima mazao mbadala
WANANCHI mkoani Mtwara wamehimizwa kulima mazao mbadala ya biashara na sio kutegemea kilimo cha korosho pekee. Wito huo ulitolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile,...
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Lindi, Mtwara watakiwa kulima mazao mbadala
MADIWANI wametakiwa kuwahimiza wananchi katika maeneo yao kuona umuhimu wa kulima mazao ya mbegu za mafuta kama vile alizeti, ufuta na karanga kwa mikoa ya Lindi na Mtwara na si...