Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


siku ya wakulima kijiji cha Laela wilaya ya Sumbawanga

Mradi wa kutekeleza tija ya uzalishaji katika nyanda za juu kusini umekuwa na mafanikio kwa wakulima kuongeza uzalishaji wa mazao kwa kutumia kilimo hifadhi lakini changamoto kubwa imeonekana ni ukosefu wa masoko . Mradi huo ambao unafadhiliwa na mtandao wa mapinduzi ya kijani barani Afrika (AGRA )unatekelezwa na mashirika manne katika wilaya sita za mikoa ya Mbeya na Rukwa katika mazao manne kutokana na eneo husika ambayo ni Mahindi , mpunga , Soya na maharage kwa kutumia kilimo hifadhi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

USAFI WA MAZINGIRA KIJIJI CHA KOJANI WILAYA YA WETE, PEMBA

HALI ya utupaji taka taka ovyo pembezoni mwa mwa bahari kwenye kisiwa cha Kojani wilaya ya wete Pemba, umeonekana kupungua kwa kiwango kikubwa, baada ya wananchi wake kupata taaluma ya usafi wa mazingira kupitia jumuia ya vijana jimbo la Kojani KOYMOCC, MITARO ya maji machafu imetajwa kuwa ni miongoni mwa changamoto kubwa, ambayo huchangia kuchafua mazingira ya Kisiwa cha Kojani Pemba, ambapo hayo yalishuhudiwa wakati wananchi kisiwani humo walipokuwa na ziara ya kuangalia hali ya usafi wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA ENG. STELLA MANYANYA AONGOZA KIKAO CHA DHARURA CHA KAMATI YA USHAURI YA MKOA RCC NA KUPITISHA MAPENDEKEZO YA KUANZISHA MAJIMBO MAWILI MAPYA YA UCHAGUZI KATIKA WILAYA ZA SUMBAWANGA NA KALAMBO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya kulia akizungumza wakati akiongoza kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kujadili na kufanya uamuzi wa kuanzisha majimbo mapya ya uchaguzi katika wilaya ya Sumbawanga na Kalambo leo tarehe 23 Mei 2015. Kikao hicho kimeridhia mapendekezo hayo ya Halmashauuri husika baada ya kukidhi vigezo ambapo yatapelekwa ngazi za juu kwa uamiuzi zaidi. 
Majimbo hayo yatazaliwa katika majimbo yaliyopo hivi sasa ambapo kwa jimbo la Kwela ambalo lipo katika Wilaya...

 

9 years ago

Michuzi

WARAGHABISHI WA KIJIJI CHA OLOLOSOKWANI WILAYA YA LOLIONDO WAPIGWA MSASA NA PALISEP

Mraghbishi Kootu Tome (wa pili kushoto) akiwa na mtendaji wa kijiji Rabie Lebuna (mwenye shati la njano) na Mwenyekiti wa Kijiji, Kerry Dukonya (wa pili toka kulia). 
Na Kisuma Mapunda,Loliondo
Sasa ni dhahiri waraghbishi wanatambua majukumu na haki zao ndani ya jamii. Uelewa wao umewapa fursa ya kuchukua hatua na kusimamia kile wanachoamini kwa manufaa ya wanajamii wanaowatumikia.
Watu hawa wamekuwa mhimili muhimu wa kuleta mabadiliko katika maeneo wanayoishi. Lakini inapendeza zaidi kuona...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mvua kubwa zaaribu zaidi ya ekari 10 za mashamba ya wakulima 30 wa Kijiji cha Mtipa,Manispaa ya Singida!!

SAM_0054

Vifaa vya  kufungua maji ili yaweze kusambazwa katika vito vya kusambazia maji ili wananhi waweze kuanza kunufaika na mradi huo ambao mpaka sasa haijulikani huduma hiyo itaanza kutolewa lini maana mkandarasi licha ya mkandarasi kutomaliza kazi,vile vile hajulikani alipokwenda.(Picha zote na Jumbe Ismailly).

Na,Jumbe Ismailly,

[SINGIDA] Mvua  kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani Singida zimeharibu zaidi ya ekari kumi za mashamba ya wakulima 30 wa Kijiji cha Mtipa,Manispaa ya Singida kufuatia...

 

9 years ago

Michuzi

MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI WALETA MAAFA KATIKA KIJIJI CHA DIHINDA MVOMERO MKOANI MOROGORO


Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigulu Nchemba akiangalia Ng'ombe walio uwawa katika Mgogoro wa wakulima na Wafugaji uliotokea katika kijiji cha Dihinda kata ya Kanga wilayani Mvomero, katika tukio lililotokea Desemba 12 mwaka huu.Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigulu Nchemba akiwa na Mkuu wa wilaya ya Mvomero, Betty Mkwasa wakiwajulia hali watu waliojeruhiwa katika mgogoro wa wakulima na wafugaji uliotokea katika kijiji cha Dihinda kata ya Kanga wilayani Mvomero Desemba 12...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi seif atembelea Kijiji cha Mvuleni Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A “ Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuwahudumia Wananchi wake katika kuwapatia huduma muhimu na za msingi za Kijamii ikielewa fika kwamba inatekeleza Sera na ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa kauli hiyo hapo katika Kijiji cha Mvuleni Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A “ wakati akikabidhi vifaa mbali mbali vya ujenzi kwa ajili ya kuufanyia matengenezo makubwa Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Kijiji hicho. Balozi Seif alikabidhi...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AFANYA MKUTANO NA WANA CCM WA KIJIJI CHA KWALE WILAYA YA MICHEWENI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni wakati alipowasili kuzungumza nao.Balozi Seif akizungumza na Wananchi na Wana
CCM wa Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni akitekeleza ahadi aliyotoa kwa Wazee Waasisi wa Kijiji hicho ya kufika kusalimiana nao.

Baadhi ya Wananchi na wana CCM wa Kijiji cha Kwale wakifuatilia Hotuba ya Balozi Seif hayupo pichani alipofika Kjijini hapo kusalimiana nao.Balozi Seif akiwa Mjumbe...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA UVINZA ASHIRIKIANA NA WANANCHI KUJENGA ZAHANATI YA KISASA KIJIJI CHA MAZUNGWE MKOANI KIGOMA

Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mrisho Gambo akishirikiana na wanakijiji cha Mazungwe kilichopo kata ya kazuramimba Wilaya ya Uvinza kuchimba msingi wa zahanati ya kijiji hicho.Picha na Editha Karlo wa Globu ya Jamii Kigoma. Wananchi wa kijiji cha mazungwe wakisomba matofali kwa ajili ya ujenzi wa msingi wa zahanati ya kijiji chao Sehemu ya msingi imekamilika,inafuata hatua ya awali ya ujenzi zahanati hiyo ya kisasa katika kijiji cha Mazungwe Wananchi wa kijiji cha mazungwe wakisomba matofali...

 

9 years ago

Vijimambo

IDDI SANDALY ATOA MSAADA WA COMPUTER SHULE YA SEKONDARi YA KIJIJI CHA MTIBWANI, WILAYA YA MAINA MKOANI TANGA


Rais wa DMV Bwn. Iddi Sandaly amekabidhi msaada wa computer shule ya sekondari ya Mtibwani iliyopo Kijiji cha Mtibwani Wilaya ya Maina Mkoani Tanga. Katika makabidhiano hayo Bwn. Sandaly aliongea na Walimu na wanafunzi wa sekondari hiyo na wao kumshukuru na sasa shule hiyo ndio itakua na lab ya kwanza itakayokua na computer katika Wilaya hiyo ya Maina. Rais wa DMV Bwn. Iddi Sandaly (mwenye t-shirt) nyekundu akizitoa computer kwenye mabox na kumkabidhi mwalimu. Bwn. Iddi Sandaly akifanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani