WARAGHABISHI WA KIJIJI CHA OLOLOSOKWANI WILAYA YA LOLIONDO WAPIGWA MSASA NA PALISEP
![](http://4.bp.blogspot.com/-7qGg_Xh4ex0/VnjEVbYdsUI/AAAAAAAAXic/k-UvmAdQmzE/s72-c/LOLIONDO.jpg)
Mraghbishi Kootu Tome (wa pili kushoto) akiwa na mtendaji wa kijiji Rabie Lebuna (mwenye shati la njano) na Mwenyekiti wa Kijiji, Kerry Dukonya (wa pili toka kulia).
Na Kisuma Mapunda,Loliondo
Sasa ni dhahiri waraghbishi wanatambua majukumu na haki zao ndani ya jamii. Uelewa wao umewapa fursa ya kuchukua hatua na kusimamia kile wanachoamini kwa manufaa ya wanajamii wanaowatumikia.
Watu hawa wamekuwa mhimili muhimu wa kuleta mabadiliko katika maeneo wanayoishi. Lakini inapendeza zaidi kuona...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 Feb
Ololosokwan wapigwa msasa kukitumia vyema kijiji cha dijitali
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) Bw. Al Amin Yusuph akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues (aliyeipa mgongo kamera) wakati wa ukaguzi wa mwisho wa eneo la mradi wa kijiji cha digitali wa Samsung unaoendeshwa na UNESCO lilitolewa na serikali ya kijiji. Katikati ni Mwenyekiti wa kijiji cha Ololosokwan...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0022.jpg)
OLOLOSOKWAN WAPIGWA MSASA KUKITUMIA VYEMA KIJIJI CHA DIJITALI
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-48iJfKnP7mg/U9-q-6E47II/AAAAAAACm2I/1Xf7W362YOk/s72-c/IMG6731.jpg)
Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba Wapigwa msasa kuhusu Mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana
![](http://2.bp.blogspot.com/-48iJfKnP7mg/U9-q-6E47II/AAAAAAACm2I/1Xf7W362YOk/s1600/IMG6731.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-iqHlYBPj4CI/U9-q-9jinlI/AAAAAAACm10/KvX-rkgG4z4/s1600/IMG_6702.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hmnaTAEAnfo/VUKpsyAlXJI/AAAAAAAHUaY/S7XeisBKi2A/s72-c/unnamed%2B(24).jpg)
siku ya wakulima kijiji cha Laela wilaya ya Sumbawanga
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Ma-RC, DC wapigwa msasa sera ya madini
WIZARA ya Nishati na Madini imefaya mkutano wake wa kwanza uliowashirikisha wakuu wa mikoa, wilaya na taasisi za dini, ili kukumbushana na kujenga uwezo katika kujua sera ya madini ya...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-UR9-piQpLoM/VD-u4NSGIaI/AAAAAAAGq5I/R4hSDWvxYfY/s72-c/MMGM1316.jpg)
WANAHABARI NCHINI WAPIGWA MSASA
![](http://4.bp.blogspot.com/-UR9-piQpLoM/VD-u4NSGIaI/AAAAAAAGq5I/R4hSDWvxYfY/s1600/MMGM1316.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Maofisa takwimu wapigwa msasa
MAOFISA 50 kutoka idara za takwimu katika wizara, taasisi na vyuo vikuu vya serikali wanakutana jijini Arusha kupata mafunzo ya jinsi ya kuchambua takwimu za sensa ya watu na makazi...
11 years ago
Dewji Blog05 May
Wanawake Vodacom wapigwa msasa
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wakati wa kongamano la kubadilishana uzoefu na kujengeana uwezo, lililofanyika katika Makao makuu ya Kampuni hiyo. Mkurugenzi huyo ametoa wito kwa jamii ya Watanzania kuendelea kuthamini mchango wa Mwanamke wa Kitanzania ndani ya jamii.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akisikiliza swali kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya...
10 years ago
VijimamboUSAFI WA MAZINGIRA KIJIJI CHA KOJANI WILAYA YA WETE, PEMBA