MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI WALETA MAAFA KATIKA KIJIJI CHA DIHINDA MVOMERO MKOANI MOROGORO
![](http://1.bp.blogspot.com/-nfMWTZbtFBk/Vm7DND2Sc6I/AAAAAAADDkU/3DMaa_MFwAw/s72-c/0.jpg)
Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigulu Nchemba akiangalia Ng'ombe walio uwawa katika Mgogoro wa wakulima na Wafugaji uliotokea katika kijiji cha Dihinda kata ya Kanga wilayani Mvomero, katika tukio lililotokea Desemba 12 mwaka huu.Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigulu Nchemba akiwa na Mkuu wa wilaya ya Mvomero, Betty Mkwasa wakiwajulia hali watu waliojeruhiwa katika mgogoro wa wakulima na wafugaji uliotokea katika kijiji cha Dihinda kata ya Kanga wilayani Mvomero Desemba 12...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA MVOMERO AINGILIA KATI MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUHUSIANA NA BONDE LA MGONGOLA
9 years ago
StarTV29 Nov
Mgogoro Wa Ardhi Wafugaji na wakulima wavutana Mkoani Morogoro
Hali ya taharuki imezuka katika kijiji cha maharaka kata ya doma wilaya ya Mvomero mkoani morogoro baada ya wananchi wa humo kukusanyika katika ofisi ya kijiji kushinikiza kupatiwa ufumbuzi juu ya wafugaji walio ingia kwenye mashamba yao nakuwatia hasara kubwa kwa kuharibu miundombinu ya umwagiliaji iliyopo kwenye mashamba hayo
Wakizungumza wakiwa katika ofisi ya kijijini hicho, wananchi hao wamesema wameshangaa kuona wafugaji kijijini hapo wakidai wanatafuta mifugo yao, ambapo wananchi...
11 years ago
Habarileo23 Dec
Wakulima, wafugaji Mvomero wapatana
SERIKALI ya Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro imefanikiwa kuwapatanisha wakulima na wafugaji wa vijiji vitano vilivyopo kata ya Hembeti vinavyo pakana na Bonde la Mgongola na imewataka wakulima wanaotoka nje ya wilaya hiyo kujisajili katika halmashauri za serikali za vijiji vinavyohusika na bonde hilo.
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Ridhiwani Kikwete azindua Kisima cha Maji, Lambo katika kijiji cha jamii ya Wafugaji cha Mbala,Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76. Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA RICHARD...
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Waziri Nchemba aingilia kati mapigano ya wakulima, wafugaji Mvomero
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Mgogoro wakulima, wafugaji waendelea
WAKULIMA wa Wilaya ya Kiteto, Manyara, wameomba serikali iwape kibali cha kuwaondoa wafugaji kama yenyewe serikali imeshindwa kutatua mgogoro huo ambao umedumu kwa miaka mingi. Wakulima walitoa kauli hiyo juzi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-AdZeyYVXI88/VJuy4-uLExI/AAAAAAAG5tg/t6Jq2uF2Onc/s72-c/IMG_2739.jpg)
WANUSURIKA KUFA KUFUATIA AJALI YA GARI KIJIJI CHA MWIDU MKOANI MOROGORO
![](http://4.bp.blogspot.com/-AdZeyYVXI88/VJuy4-uLExI/AAAAAAAG5tg/t6Jq2uF2Onc/s1600/IMG_2739.jpg)
10 years ago
StarTV06 Feb
Ubaguzi wadaiwa kugubika mgogoro wa Wakulima na Wafugaji.
Na Ramadhan Mvungi,
Arusha.
Wawakilishi wa wafugaji wa Mkoa wa Morogoro na mashirika yanayotetea wafugaji wamedai kuwa mgogoro wa ardhi unaoendelea kati ya wakulima na wafugaji wilayani Mvomero na Kilosa umevaa sura ya maslahi ya kisiasa na ubaguzi dhidi ya wafugaji.
Aidha wafugaji hao pamoja na mashirika yanayotetea haki za wafugaji nchini wametoa mwito wa kuzingatiwa kwa amri ya mahakama iliyotoa maamuzi kuhusu umiliki wa maeneo ya vijiji vyenye mgogoro ili kumaliza mapigano baina ya...
10 years ago
Habarileo19 Feb
Wanne wafa mgogoro wa wakulima, wafugaji Kilosa
WATU wanne wamekufa na wengine wanne kujeruhiwa na kulazwa katika kituo cha afya cha Mtakatifu Joseph kilichopo kata ya Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro, baada ya kuzuka kwa mapigano baina ya wakulima na wafugaji.