Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafuriko Nyumba ya Mungu yasomba ekari 20

ZAIDI ya ekari 20 za mazao ya aina mbalimbali, ikiwamo vitunguu na mahindi pamoja na nyumba ambazo idadi yake haijulikani katika vijiji vya Jitengeni na Mvungwe wilayani Same, zimeharibiwa na mafuriko kutoka bwawa la Nyumba ya Mungu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yasomba basi la abiria Mandera

Maafisa wa shirika la msalaba mwekundu, mjini Mandera Kenya wanasema kuwa takriban watu 35 wametoweka baada ya basi kusombwa na mafuriko

 

9 years ago

Mwananchi

Mafuriko yasomba reli, abiria watumia mabasi

Abiria 1,090 wa treni waliokuwa wakienda Dar es Salaam, wamekwama katika stesheni ya Mzaganza iliyopo Dodoma, baada ya sehemu ya reli kusombwa na mafuriko.

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu nyumba, ekari 300 za mashamba

Mvua ya mawe iliyonyesha jana alasiri katika Kijiji cha Isansa, Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya kwa zaidi ya dakika 40, imeezua mabati ya nyumba na kuharibu zaidi ya ekari 300 za mashamba.

 

10 years ago

Mwananchi

Ikulu ni nyumba ya Mungu, isidhihakiwe

Krismasi moja nilimpa kadi sista mmoja wa Kituo cha Msimbazi. Kwa maneno yake, alizoea kuona kadi za msimu huo zilizopambwa kwa wazungu waliochunga kondoo, miti ya Krismasi na matone ya barafu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mafuriko yazamisha nyumba 7,000

WAKAZI 7,000 wa kata tatu, Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa, Morogoro hawana makazi baada ya nyumba zao zinazokadiriwa kufikia 2,500 kumezwa na maji kutokana na mafuriko huku nyingine zikisombwa na...

 

10 years ago

Mtanzania

Nyumba za mafuriko kuvunjwa Dar

Jonas Mushi na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete ameamuru kubomolewa baadhi ya nyumba zilizojengwa juu ya karavati lililoziba na kusababisha maji kujaa kwenye nyumba za wakazi wa Buguruni kwa Mnyamani, Ilala Dar es Salaam.
Akihutubia wananchi wa eneo hilo jana, Rais Kikwete alisema nyumba hizo zitabomolewa pamoja na karavati hilo kupisha maji kupita na kulijenga upya.
“Kwa sasa tunaendelea kuvuta maji yaliyojaa kwenye makazi ya watu kwa kutumia pampu lakini baadaye itabidi...

 

10 years ago

GPL

MAFURIKO YAIZENGEA NYUMBA YA DIAMOND

Na waandishi wetu
MAFURIKO yanayotokea katika sehemu mbalimbali nchini kutokana na mvua  zinazoendelea kunyesha, yanaizengea nyumba ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz iliyopo Tegeta Madale, nje kidogo ya Jiji la Dar. Ukuta uliojengwa baada ya kubomoka. Kwa mujibu wa majirani wa staa huyo, nyumba hiyo imejengwa katika njia ya maji (mkondo), jambo ambalo hakulielewa hapo mwanzo, kwani ndiyo sababu...

 

11 years ago

Habarileo

Mafuriko yabomoa nyumba 87 wilayani Bagamoyo

JUMLA ya kaya 87 katika kitongoji cha Biga Kata ya Mkange Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kubomolewa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mafuriko yaua Arusha, yateketeza nyumba

Watu watatu wamefariki dunia huku familia zaidi ya 70 zikikosa mahala pa kuishi baada ya nyumba zao kubomolewa na mafuriko yaliyotokana na mvua za vuli zinazoendelea kunyesha huko wilayani Arumeru, mkoani Arusha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani