Nyumba za mafuriko kuvunjwa Dar
Jonas Mushi na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete ameamuru kubomolewa baadhi ya nyumba zilizojengwa juu ya karavati lililoziba na kusababisha maji kujaa kwenye nyumba za wakazi wa Buguruni kwa Mnyamani, Ilala Dar es Salaam.
Akihutubia wananchi wa eneo hilo jana, Rais Kikwete alisema nyumba hizo zitabomolewa pamoja na karavati hilo kupisha maji kupita na kulijenga upya.
“Kwa sasa tunaendelea kuvuta maji yaliyojaa kwenye makazi ya watu kwa kutumia pampu lakini baadaye itabidi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Nyumba 5,600 kuvunjwa Dar
10 years ago
Mwananchi07 May
Mafuriko Dar, nyumba zajaa maji, wananchi wahaha
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/f1W4CAiDvMk/default.jpg)
Nyumba zilizojengwa juu ya bomba la kupitisha maji Buruguni kuvunjwa.
Rais Jakaya Kikwete, jana alitembelea waathirika wa mafuriko Buguruni kwa Mnyamani na kuahidi kuwasaidia, huku akiagiza kuvunjwa kwa nyumba zitakazobainika kujengwa juu ya bomba hilo.
Kikwete alisema tathmini ya nyumba ziliozojengwa juu ya bomba hilo itafanyika, na wanaanchi watalipwa fidia zao.
Kadhalika, alisema bomba hilo lililosababisha mafuriko hayo litajengwa upya ili kuwezesha kupitisha maji mengi zaidi.
Kikwete pia ameagiza wilaya ya Ilala itoe msaada wa chakula kwa wakazi hao, pamoja...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-SeliBxGnXlM/Xqq1XyZAnGI/AAAAAAALopM/byoIjNVhOjUAr0gC_ClFtjvIiW9VO7MMQCLcBGAsYHQ/s72-c/d9f1640e-fa3e-4477-a26b-6e2d6166a198%2B%25281%2529.jpg)
RC MAKONDA ATOA MSAADA WA MABATI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 476 KWAAJILI YA KUEZEKA NYUMBA 1,000 ZA WAJANE WALIOKUMBWA NA ADHA YA MAFURIKO DAR.
RC Makonda amesema hayo wakati wa Ziara ya Kukagua athari za Mvua na kubaini uwepo wa familia za Wajane ambao Nyumba zao zimechukuliwa na Mafuriko na sasa wanapitia changamoto ya...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Mafuriko yazamisha nyumba 7,000
WAKAZI 7,000 wa kata tatu, Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa, Morogoro hawana makazi baada ya nyumba zao zinazokadiriwa kufikia 2,500 kumezwa na maji kutokana na mafuriko huku nyingine zikisombwa na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/D*jRkBJZGXWDxijXQgoUqiyiUCpc7komcc3TjLcGZ708Dm3Pi9kvMpNSZq5E-hgPP0JGZvkm01hnj7CeB3YBE4BCx3dpBleq/Diamond.jpg)
MAFURIKO YAIZENGEA NYUMBA YA DIAMOND
11 years ago
Habarileo30 Mar
Mafuriko yabomoa nyumba 87 wilayani Bagamoyo
JUMLA ya kaya 87 katika kitongoji cha Biga Kata ya Mkange Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kubomolewa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi.
9 years ago
Habarileo16 Sep
Mafuriko Nyumba ya Mungu yasomba ekari 20
ZAIDI ya ekari 20 za mazao ya aina mbalimbali, ikiwamo vitunguu na mahindi pamoja na nyumba ambazo idadi yake haijulikani katika vijiji vya Jitengeni na Mvungwe wilayani Same, zimeharibiwa na mafuriko kutoka bwawa la Nyumba ya Mungu.
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Mafuriko yaua Arusha, yateketeza nyumba